nadhani uko sahihi, ngoja nione yakitoka Buguruni kwenda Mjini au airport yatakuwa hayakwami? hivyo hivyo kutoka airport kwenda Ubungo/Mbagala yatakuwa hayakwami? tibangayukaFoleni inakuwa kubwa wakati magari ya Mandela Road inabidi yasubiriane na ya Nyerere Road ili kupita Tazara. Sasa kusubiriana kupita hapo Tazara hakutakuwepo tena hivyo flow ya traffic itakuwa ni nzuri. Tatizo Pekee ninaloliona ni kwamba pale Buguruni patakuwa panatia giza na Tabata Dampo pia.
Tiba
Duh kumbwa kweli sisi tumejenga daraja la mita 100 ndotunaliita flyover ......badala ya kuweka nguvu zetu kwa vitu tutakavyo weza tunatafuta kiki za kisiasa tu....hizo pesa tungeziweka katika miundombinu ya usambazaji maji Dar, aibu ya jiji kuu kukosa maji safi na salama ingepungua kama sio kuisha kabisabangkok walijenga flyover all the way from City centre to Airport
Labda siku za baadae itajengwa nyingine ikianzia kupanda vetenary na kupita juu ya hii ya tazara na kushuka huko mbele darajani.Nilitegemea angalau kwa kuanzia kitu kama hiki pale Tazara lakini .. hapa Ni Bangkok ndiyo walikuwa wanaanza baada ya magari kuwa mengi.
Swali, kweli daraja hili litapunguza msongamano Tazara?
Wabeba mayai wana fujo sana asubuhi na kelele zao.Nataka nipite na baiskeli yangu pale juu. Naikiwa napeleka mayai posta
Wizara ya maji na Wizara ya ujenzi kila moja ina bajeti yake. Umeambiwa miradi ya maji imesimama kwasababu ya hio flyover? Kabla ya hio flyover maji yalikuwa yanatiririka nchi nzina sio?Duh kumbwa kweli sisi tumejenga daraja la mita 100 ndotunaliita flyover ......badala ya kuweka nguvu zetu kwa vitu tutakavyo weza tunatafuta kiki za kisiasa tu....hizo pesa tungeziweka katika miundombinu ya usambazaji maji Dar, aibu ya jiji kuu kukosa maji safi na salama ingepungua kama sio kuisha kabisa
Hii ndy tanzania ya chichiem usishangaeSiku Hizi Nikipita Tazara Nashangaa Askari Wameanza Tena Kuongoza Magari Wakati Ilipofunguliwa Mambo Yalikuwa Sawa