Wewe kwa Mara ya mwisho ULIFURAHI lini?Umeanza....
Hili ni daraja la "presitige" tu kama ni foreni no work done....kwanza ni fupi sana kuzuia magari kutokana......mita kadha kuna mataa ya traffic mara 3. kuelekea uwanja wandege ambayo yatafanya magari ya subiriane tena.Hii fly over inaweza kuwa msaada kimawazo,ila katika uhalisia tatizo la foleni kitabaki palepale....mana magari yatakuwa yanaumana sana upande wa kushukia,mfano kuelekea uwanja wa ndege sehem ya kushukia pale magari yatakuwa yanakutana kwa wingi halaf mita chache mbele kuna msongamano,unatarajia nini?.....
SAFI SANA.Jana nilipopita hapo...in fact furaha inaendelea im enjoying my easy Sunday listening to Gospel Track
Na isitoshe ukishafika Majumba 6 foleni inaanza upya ukizingatia kule banana kuelekea ukonga barabara ni njia moja can u imagine wingi wa magari yanapita tazara kwenye fly over then yaje kukutana Vingunguti,Jet,Aiport,Njia panda ya segerea then banana doooh...hope walioamua kujenga hilo dude wamethink PositiveHili ni daraja la "presitige" tu kama ni foreni no work done....kwanza ni fupi sana kuzuia magari kutokana......mita kadha kuna mataa ya traffic mara 3. kuelekea uwanja wandege ambayo yatafanya magari ya subiriane tena.
Wafilipi 4:4SAFI SANA.
FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE
We sasa unaleta siasa....Kwa kua wameacha nafasi kwa ajili ya mabasi ya mwendokasi itasaidia pakubwa watu kufika vibaruani na nyumbani mapema.. RRONDO achana na hao wahandisi mwitu kwao hamnaga jema hata ingejengwa kama wanazopendekeza wangekuja na utumbo mwingine
magari yameshaanza kupita?
Unaweza kuwa sahihi lkn effectiveness itakuwa ndogo sidhani kama kutakuwa na significant change, ngoja tuone.Yatapungua kwasababu wamekata muda wa kusubiri yatokayo mjini kwenda airport. Yaani sasa hivi hawatasubiri sana kwasababu ya town-jnia yanapita juu.
Hivi unajua traffic police anaweza kuzuia nusu saa ili upande mmoja upite? Hio nusu saa yanakuwa yamepita magari mengi sana
Hii ni negativity.Hili ni daraja la "presitige" tu kama ni foreni no work done....kwanza ni fupi sana kuzuia magari kutokana......mita kadha kuna mataa ya traffic mara 3. kuelekea uwanja wandege ambayo yatafanya magari ya subiriane tena.
AmenWafilipi 4:4
"Rushing for political fame" au kukurupuka, bila upembuzi ya kinifu kubaini haswa chanzo na muendelezo wa foreni katika sehemu hiyo. Ndo ungojwa wetu wa TzNa isitoshe ukishafika Majumba 6 foleni inaanza upya ukizingatia kule banana kuelekea ukonga barabara ni njia moja can u imagine wingi wa magari yanapita tazara kwenye fly over then yaje kukutana Vingunguti,Jet,Aiport,Njia panda ya segerea then banana doooh...hope walioamua kujenga hilo dude wamethink Positive
kweliItawekewa bango la "hapa kazi tu"
Wewe unaamini Japan wametoa huo mkopo/msaada bila kupitia au wao kufanya upembuzi yakinifu wao? Hivi kwanini tunapenda kujifanya tuna akili kuliko hata wataalam wanaotekeleza hio miradi?"Rushing for political fame" au kukurupuka, bila upembuzi ya kinifu kubaini haswa chanzo na muendelezo wa foreni katika sehemu hiyo. Ndo ungojwa wetu wa Tz
wewe mzee Unajitafutia kifo tuNataka nipite na baiskeli yangu pale juu. Naikiwa napeleka mayai posta