Ama kweli wapalestine madhaifu wanahitaji kusaidiwa na UN na inchi zenye nguvu ili kustopisha mauaji ya wapalestine na kurudishiwa ardhi yao ilio tawaliwa kwa mabavu na Israel.
Ndugu Maxshimba, hizo ni propoganda za Israel, kila mtu anajua kuwa palestine imetawaliwa na Waisraeli, wapalestine hawana jeshi, Israel Imewatawala wapalestine kwa mabavu na inawaua watoto na wanawake wa kipalestine kila siku lakini wapalestine masikini wanatumia mawe tu kupambana na jeshi la Israel lenye nguvu , kama kweli unajua utu utawahurumia masikini hawa (wapalestine), ipo siku Mungu akitaka atawalipa na kuwaokoa wapestine na shida kubwa inao wapata, Amin.