Tazama uhusiano wa NEC na ZEC

Tazama uhusiano wa NEC na ZEC

Kaka Petro , Msome Jabiri Makame👇

ZANZIBAR: JE INAWEZEKANAJE KURA ZA RAIS WA ZANZIBAR NA WAWAKILISHI ZIWE BATILI NA ZILE ZA RAIS WA JMT NA WABUNGE ZIWE HALALI?

Jabiri Omari Makame

Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa JMT na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja kwa ZEC,

Meza ya ZEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani na Meza ya NEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa JMT na Mbunge,

ZEC wanaongozwa na katiba ya Zanzibar ya 1984 na NEC wanaongozwa na Katiba ya Tanzania ya 1977,

Pia vyama vya siasa wanaweka mawakala wa aina mbili, moja kwenye meza ya NEC na pili kwenye meza ya ZEC,

Hata katika kuhesabu kura hawa watu hawaingiliani, ZEC na mawakala wao wanahesabu kura zao na NEC na mawakala wao wanahesabu kura zao.

Pia kuna ballot boxes tofauti. Zipo za ZEC kwa ajili ya Kura ya Rais wa Zanzibar, Mwakilishi na Diwani na NEC kwa ajili ya Kura ya Rais wa JMT na Mbunge,

Mzanzibari anapokwenda kupiga kura kwanza anakwenda kwenye meza ya ZEC, anatoa kitambulisho na anapewa kura tatu, Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani. Anapiga kura na anapakwa wino kidole kimoja.

Baada ya hapo anakwenda kwenye Meza ya NEC anapewa kura 2, Rais wa JMT na Mbunge. Anapiga kura na kuzitumbukiza kwenye masanduku ya NEC ambayo ni tofauti na yale ya ZEC. Anapakwa wino kidole cha pili.

Wakati wa kuhesabau hawa watu hawaingiliani, wasimamizi wa ZEC na Mawakala wa vyama vya siasa wanaosimamia Rais wa Zanzibar, Mwakilishi na Diwani wanakuwa sehemu yao na wasimamizi wa NEC na Mawakala wa vyama vya siasa wanaosimamia kura ya Rais wa JMT na Mbunge wanakuwa sehemu yao,

Kwa hiyo, hapo kuna michakato 2 tofauti hivyo kasoro zilizojitokeza katika kura za ZEC, hasa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura tofauti na wale waliojiandikisha bila kuathili kura za NEC ni kutokana na KUTOINGILINA katika MCHAKATO na majukumu yao.

Udanganyifu umefanyika kwenye meza ya ZEC ndiyo maana walibaini hizo kasoro walipokuwa wanahakiki lakini kwenye meza ya NEC hapakuwa na udanganyifu wowote ndiyo maana hapakuwa na kasoro zozote zilizobainika.

SWALI; Anayepiga kura ZEC, ndiyo yule anayepiga kura NEC. Kwa nini idadi iongezeke ZEC halagu NEC idadi ya wapiga kura isiongezeke?.

Jibu ni kwamba, siyo lazima udanganyifu ufanyike kwa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura, la hasha! Kuna uwezekano wapiga kura ni walewale waliopiga Kura ZEC, wakapiga Kura NEC kwa idadi ileile bila kuzidi idadi ya waliojiandikisha kwenye daftari. Baadhi yao wakaingia na kura fake na wakafanikiwa kupiga kura zaid ya moja kwa upande wa viongozi wa Zanzibar lakini wanapokwenda meza ya NEC wasifanye huo udanganyifu.

Pili Watumishi wa ZEC wanaweza kutoa ballot paper zaidi ya moja kwa mpiga kura kwa lengo la kufanya udanganyifu kwa lengo la kupendelea wagombea wa chama fulani (Rejea kauli ya Mwenyekiti wa ZEC Ndugu JECHA ya kwamba ndani ya tume kuna watumishi wanasukumwa na matakwa ya kisiasa) na watumishi wa NEC wasifanye huo idanganyifu,

Tatu udanganyifu unaweza kufanyika wakati wa kuhesabu kura na kwa upande wa ZEC wakaongeza idadi ya kura lakini upande wa NEC wasifanye hivyo.

KWA HIYO, kutokana na hayo, ni dhahiri kwamba KASORO ZILIZOJITOKEZA KWENYE MATOKEO YA UCHAGUZI WA ZEC HAZIJAATHIRI MATOKEO YA KURA ZA NEC.

Hoja za Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ni za msingi na hoja za Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni za msingi, hazipaswi kupuuzwa kwa mustakabali wa taifa letu.

#Amani ni Tunda adimu-Tulikumbatie.
We ukiona simba kakamatwa sharubu alaumiwe nani ???
 
Last edited by a moderator:
Hujapata kina cha maelezo. Kuwa na sheria mbili hakuzuii hoja iliyotolewa. Je ZEC ya sheria ya 1984 haifanyi kazi za NEC ya sheria ya 1987? Zanzibar hakuna NEC bali majukumu yake yanafanywa na ZEC - na hii ni kwa mujibu wa sheria hizo mbili. Udhaifu wa ZEC katika kusimamia na kutekeleza majukumu hayo na kwa wakati mmoja haiwezi kuathiri kipande kimoja tu kikakiacha kingine!

Labda hujui Kuwa kila tume ina daftari lake la wapiga kura. Hii ina maana kubwa sana, mfano mtu anaweza kuwa alijiandikisha kwenye daftari la ZEC halafu hakujiandikisha kwenye daftari la NEC. Hivyo kila tume ina wapiga kura wake tofauti kabisa, na taratibu tofauti.
 
Thibitisha Mkuu
 
Nithibitishe nini? ZEC wana daftari lao na NEC wana lao. Zanzibar walianza mchakato wa daftari lao mapema sana, sasa sijui unataka nithibitishe nini!?

Kwamba wapo waliojiandikisha ZEC na si NEC
 
Kaka Petro , Msome Jabiri Makame👇

ZANZIBAR: JE INAWEZEKANAJE KURA ZA RAIS WA ZANZIBAR NA WAWAKILISHI ZIWE BATILI NA ZILE ZA RAIS WA JMT NA WABUNGE ZIWE HALALI?

Jabiri Omari Makame

Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa JMT na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja kwa ZEC,

Meza ya ZEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani na Meza ya NEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa JMT na Mbunge,

ZEC wanaongozwa na katiba ya Zanzibar ya 1984 na NEC wanaongozwa na Katiba ya Tanzania ya 1977,

Pia vyama vya siasa wanaweka mawakala wa aina mbili, moja kwenye meza ya NEC na pili kwenye meza ya ZEC,

Hata katika kuhesabu kura hawa watu hawaingiliani, ZEC na mawakala wao wanahesabu kura zao na NEC na mawakala wao wanahesabu kura zao.

Pia kuna ballot boxes tofauti. Zipo za ZEC kwa ajili ya Kura ya Rais wa Zanzibar, Mwakilishi na Diwani na NEC kwa ajili ya Kura ya Rais wa JMT na Mbunge,

Mzanzibari anapokwenda kupiga kura kwanza anakwenda kwenye meza ya ZEC, anatoa kitambulisho na anapewa kura tatu, Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani. Anapiga kura na anapakwa wino kidole kimoja.

Baada ya hapo anakwenda kwenye Meza ya NEC anapewa kura 2, Rais wa JMT na Mbunge. Anapiga kura na kuzitumbukiza kwenye masanduku ya NEC ambayo ni tofauti na yale ya ZEC. Anapakwa wino kidole cha pili.

Wakati wa kuhesabau hawa watu hawaingiliani, wasimamizi wa ZEC na Mawakala wa vyama vya siasa wanaosimamia Rais wa Zanzibar, Mwakilishi na Diwani wanakuwa sehemu yao na wasimamizi wa NEC na Mawakala wa vyama vya siasa wanaosimamia kura ya Rais wa JMT na Mbunge wanakuwa sehemu yao,

Kwa hiyo, hapo kuna michakato 2 tofauti hivyo kasoro zilizojitokeza katika kura za ZEC, hasa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura tofauti na wale waliojiandikisha bila kuathili kura za NEC ni kutokana na KUTOINGILINA katika MCHAKATO na majukumu yao.

Udanganyifu umefanyika kwenye meza ya ZEC ndiyo maana walibaini hizo kasoro walipokuwa wanahakiki lakini kwenye meza ya NEC hapakuwa na udanganyifu wowote ndiyo maana hapakuwa na kasoro zozote zilizobainika.

SWALI; Anayepiga kura ZEC, ndiyo yule anayepiga kura NEC. Kwa nini idadi iongezeke ZEC halagu NEC idadi ya wapiga kura isiongezeke?.

Jibu ni kwamba, siyo lazima udanganyifu ufanyike kwa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura, la hasha! Kuna uwezekano wapiga kura ni walewale waliopiga Kura ZEC, wakapiga Kura NEC kwa idadi ileile bila kuzidi idadi ya waliojiandikisha kwenye daftari. Baadhi yao wakaingia na kura fake na wakafanikiwa kupiga kura zaid ya moja kwa upande wa viongozi wa Zanzibar lakini wanapokwenda meza ya NEC wasifanye huo udanganyifu.

Pili Watumishi wa ZEC wanaweza kutoa ballot paper zaidi ya moja kwa mpiga kura kwa lengo la kufanya udanganyifu kwa lengo la kupendelea wagombea wa chama fulani (Rejea kauli ya Mwenyekiti wa ZEC Ndugu JECHA ya kwamba ndani ya tume kuna watumishi wanasukumwa na matakwa ya kisiasa) na watumishi wa NEC wasifanye huo idanganyifu,

Tatu udanganyifu unaweza kufanyika wakati wa kuhesabu kura na kwa upande wa ZEC wakaongeza idadi ya kura lakini upande wa NEC wasifanye hivyo.

KWA HIYO, kutokana na hayo, ni dhahiri kwamba KASORO ZILIZOJITOKEZA KWENYE MATOKEO YA UCHAGUZI WA ZEC HAZIJAATHIRI MATOKEO YA KURA ZA NEC.

Hoja za Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ni za msingi na hoja za Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni za msingi, hazipaswi kupuuzwa kwa mustakabali wa taifa letu.

#Amani ni Tunda adimu-Tulikumbatie.

Huyo Jabir makame wako hana alijualo pamoja na kutoa porojo ndefu.

Kwanza alitakiwa atueleze uhalali wa kura za uraisi wa muungano ikiwa wazanzibar wote ambao watamchagua raisi wa muungano na wa Zanzibar nilazima kumbukumbu zao zitoke katika daftari la wapiga kura la Zanzibar! Daftari la NEC Zanzibar liko special kwa wale ambao hawana sifa za kupata kitambulisho cha ZEC

Sasa ikiwa anaemuakilisha NEC Zanzibar kasema uchaguzi wote ambao anausimamia yeye ni batili kwa kuwa ulikuwa na kasoro jee huu mwengine utakuwa sahihi!!???

Moja ya sababu ya Jecha ni kuwa wapiga kura wengi hawajapiga kura kwa kuwa hawakwenda kuchukua vitambulisho vyao jee hapo uchaguzi wa muungano hii kasoro itaiepuka!!???

Pili akae atambue kura za NEC zinaweza kuongezeka kuliko za ZEC kwa kuwa wako ambao wanayo ruhusa ya kumchagua raisi wa muungano huku wakiwa hawana haki ya kumchagua raisi wa Zanzibar.

Mwisho atueleze jee wazanzibar wamo katika daftari linalosimamiwa na NEC!?

Kuhusu madai ya jecha anataka atambue kuwa hana mamlaka yeyote kikanuni au kikatiba kikatiba kufuta uchaguzi wa Zanzibar, kiasi kafanya uhuni ambao hauna kichwa wala mkia.
 
Last edited by a moderator:
Nithibitishe nini? ZEC wana daftari lao na NEC wana lao. Zanzibar walianza mchakato wa daftari lao mapema sana, sasa sijui unataka nithibitishe nini!?

Kwa wazanzibar daftari ni moja tu kwa uchaguzi wote wa raisi wa Zanzibar na Tanzania, ubunge na uwakilishi pamoja na Diwani.

Daftari la muungano Zanzibar liko kwa wale ambao hawamo katika daftari la ZEC, mfano watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar! Hawa wanachagua raisi wa muungano pekee.
 
Labda hujui Kuwa kila tume ina daftari lake la wapiga kura. Hii ina maana kubwa sana, mfano mtu anaweza kuwa alijiandikisha kwenye daftari la ZEC halafu hakujiandikisha kwenye daftari la NEC. Hivyo kila tume ina wapiga kura wake tofauti kabisa, na taratibu tofauti.
Fuatilia ujue taratibu zinazotumika Zanzib?r na Tume ikiwakilishwa na ZEC kabla hujasema uliyoyasema
 
Nithibitishe nini? ZEC wana daftari lao na NEC wana lao. Zanzibar walianza mchakato wa daftari lao mapema sana, sasa sijui unataka nithibitishe nini!?
Soma sheria zote utaelewa kuwa mtu aliyesajiliwa kwenye daftari lamkudumunla Zanzibar ana sifa zamkupiga kura ya raia na mbunge wa JMT. Hakuna cha madaftari mawili.
 
Nithibitishe nini? ZEC wana daftari lao na NEC wana lao. Zanzibar walianza mchakato wa daftari lao mapema sana, sasa sijui unataka nithibitishe nini!?
Soma sheria zote utaelewa kuwa mtu aliyesajiliwa kwenye daftari lamkudumunla Zanzibar ana sifa zamkupiga kura ya raia na mbunge wa JMT. Na mpigankura huyu anakuwa na kitambulisho kimoja tu cha mpiga kura - kile cha zanzibar. Hakuna cha madaftari mawili wala vittambulisho viwili.
 
Kaka Petro , Msome Jabiri Makame👇

ZANZIBAR: JE INAWEZEKANAJE KURA ZA RAIS WA ZANZIBAR NA WAWAKILISHI ZIWE BATILI NA ZILE ZA RAIS WA JMT NA WABUNGE ZIWE HALALI?

Jabiri Omari Makame

Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa JMT na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja kwa ZEC,

Meza ya ZEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani na Meza ya NEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa JMT na Mbunge,

ZEC wanaongozwa na katiba ya Zanzibar ya 1984 na NEC wanaongozwa na Katiba ya Tanzania ya 1977,

Pia vyama vya siasa wanaweka mawakala wa aina mbili, moja kwenye meza ya NEC na pili kwenye meza ya ZEC,

Hata katika kuhesabu kura hawa watu hawaingiliani, ZEC na mawakala wao wanahesabu kura zao na NEC na mawakala wao wanahesabu kura zao.

Pia kuna ballot boxes tofauti. Zipo za ZEC kwa ajili ya Kura ya Rais wa Zanzibar, Mwakilishi na Diwani na NEC kwa ajili ya Kura ya Rais wa JMT na Mbunge,

Mzanzibari anapokwenda kupiga kura kwanza anakwenda kwenye meza ya ZEC, anatoa kitambulisho na anapewa kura tatu, Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani. Anapiga kura na anapakwa wino kidole kimoja.

Baada ya hapo anakwenda kwenye Meza ya NEC anapewa kura 2, Rais wa JMT na Mbunge. Anapiga kura na kuzitumbukiza kwenye masanduku ya NEC ambayo ni tofauti na yale ya ZEC. Anapakwa wino kidole cha pili.

Wakati wa kuhesabau hawa watu hawaingiliani, wasimamizi wa ZEC na Mawakala wa vyama vya siasa wanaosimamia Rais wa Zanzibar, Mwakilishi na Diwani wanakuwa sehemu yao na wasimamizi wa NEC na Mawakala wa vyama vya siasa wanaosimamia kura ya Rais wa JMT na Mbunge wanakuwa sehemu yao,

Kwa hiyo, hapo kuna michakato 2 tofauti hivyo kasoro zilizojitokeza katika kura za ZEC, hasa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura tofauti na wale waliojiandikisha bila kuathili kura za NEC ni kutokana na KUTOINGILINA katika MCHAKATO na majukumu yao.

Udanganyifu umefanyika kwenye meza ya ZEC ndiyo maana walibaini hizo kasoro walipokuwa wanahakiki lakini kwenye meza ya NEC hapakuwa na udanganyifu wowote ndiyo maana hapakuwa na kasoro zozote zilizobainika.

SWALI; Anayepiga kura ZEC, ndiyo yule anayepiga kura NEC. Kwa nini idadi iongezeke ZEC halagu NEC idadi ya wapiga kura isiongezeke?.

Jibu ni kwamba, siyo lazima udanganyifu ufanyike kwa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura, la hasha! Kuna uwezekano wapiga kura ni walewale waliopiga Kura ZEC, wakapiga Kura NEC kwa idadi ileile bila kuzidi idadi ya waliojiandikisha kwenye daftari. Baadhi yao wakaingia na kura fake na wakafanikiwa kupiga kura zaid ya moja kwa upande wa viongozi wa Zanzibar lakini wanapokwenda meza ya NEC wasifanye huo udanganyifu.

Pili Watumishi wa ZEC wanaweza kutoa ballot paper zaidi ya moja kwa mpiga kura kwa lengo la kufanya udanganyifu kwa lengo la kupendelea wagombea wa chama fulani (Rejea kauli ya Mwenyekiti wa ZEC Ndugu JECHA ya kwamba ndani ya tume kuna watumishi wanasukumwa na matakwa ya kisiasa) na watumishi wa NEC wasifanye huo idanganyifu,

Tatu udanganyifu unaweza kufanyika wakati wa kuhesabu kura na kwa upande wa ZEC wakaongeza idadi ya kura lakini upande wa NEC wasifanye hivyo.

KWA HIYO, kutokana na hayo, ni dhahiri kwamba KASORO ZILIZOJITOKEZA KWENYE MATOKEO YA UCHAGUZI WA ZEC HAZIJAATHIRI MATOKEO YA KURA ZA NEC.

Hoja za Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ni za msingi na hoja za Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni za msingi, hazipaswi kupuuzwa kwa mustakabali wa taifa letu.

#Amani ni Tunda adimu-Tulikumbatie.

Hadithi nzuri lakini haina maudhui yoyote. Kwa yoyote yule anayejuwa hesabu za SET (AnB or AuB) basi ni rahisi kufahamu hii scenario.

Kwa kifupi Wale wote wanaopigia kura rais wa Zanzibar basi wanampigia kura rais wa JMT. Lakini wako wanaompigia raisi wa JMT (si wazanzibar wakaazi) lakini hawawezi kumpigia kura raisi wa Zanzibar.

Sasa ikiwa hawa wanaopiga kote kote, ikiwa wana irregularity inayofanya kura zao zisiwe valid basi automatically kote kuwili process itakuwa void. Unless and I stress unless iwe kura za JMT wao irregulaties kisheria zinakubalika.
 
Last edited by a moderator:
Labda hujui Kuwa kila tume ina daftari lake la wapiga kura. Hii ina maana kubwa sana, mfano mtu anaweza kuwa alijiandikisha kwenye daftari la ZEC halafu hakujiandikisha kwenye daftari la NEC. Hivyo kila tume ina wapiga kura wake tofauti kabisa, na taratibu tofauti.
Nyenyere, watu kama wewe lengo lenu hasa ni nini?

Unatetea jambo huku ukijua ni uongo, kwa nini lakini?

Umepata wapi habari ya Zanzibar kuwa na daftari mbili

Zoezi la upigaji kura Zanzibar zinaendeshwa na ZEC, basi.

Kijana ni heri kukaa kimya na hivyo kuficha ujinga wako

Kuliko kupayuka hovyo na kuonesha ulivyo mweupe kichwani.
 
Pole sana mbwabwajaji. Chapter closed. Hapa kazi tu. Kuendeleza malumbano ni dalili za ujuha, tuna rais tsyari. Jaribuni 2020
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom