Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,791
- 20,034
Mkuu, usikubali kwamba tumekwisha, hebu chukua hatua ya kizalendo maana hili ni Taifa letu wote ila kuna wachache wamejaliwa tumbo na tamaa zisizojali utu wala uzalendo....!hapo nimekubali mkuu meno yote hayo sasa hawa askari wanyama poli nao wanakazi gani, du tumekwisha
Kinana na CCM wanamaliza hawa wanyama kila kukicha na sisi tunapewa t.shirt, kanga na wali tunashangilia kama wehu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Watanzania wenzetu wapi wewe??Bora hao majangili ni watanzania wenzetu wanajitafutia liziki kuliko wale WAARABU wanaopandisha kwenye ndege TWIGA wetu wazima wazima....SIUNGI MKONO HOJA.
Huu ndio mzigo uliokamatwa China, kutoka Tanzania, alafu waziri anaenda kuomba uuzwe ili fedha zitumike kupambana na majangili. Uzumbukuku mwanzo mwisho.
Hivi!!!, Kuna tembo wamebaki kweli?Huu ndio mzigo uliokamatwa China, kutoka Tanzania, alafu waziri anaenda kuomba uuzwe ili fedha zitumike kupambana na majangili. Uzumbukuku mwanzo mwisho.
Hivi!!!, Kuna tembo wamebaki kweli?
Hivi haya yanayokamatwa yanapelekwa wapi?
"Solution" ni serikali dhaifu ya CCM.
Yanapakiwa kwenye meli ya Kinanda to Hong Kong.....msomali aliejivika utanganyika atakuwa na hasara gani kwani nchi yake hii?
Hivi haya yanayokamatwa yanapelekwa wapi?
Umeona eee! Tena bado. Tukiwaambia ccm ni laana wabishi ka nini!!Hayo ndiyo marupurupu ya kuiweka ccm madarakani! Hayo yote watanzania mnayataka wenyewe!!!