Tazama: Said Fella ni mshamba Not In a Way - huyu ni mshamba Per sé

Nimekuwa nikitizama shughuli za mziki tanzania nkagundua kuna miungu watatu, Ruge, Said fella na babu tale. Hawa jamaa wana ka cartel kao, ukigombana na mmoja unapotea kabisa. Ila wana sifa zinazofanana nitawaletea mfululizo wa makala ila nianze na Fella Saidi.

Hajui kabisa kuvaa ni mshamba aliwahi kwenda Ikulu pale na jeans na tshirt juzi nimemuona kumbe alirudia zilezile kwenye tuzo za Diamond Channel O.

In short the guy ni mshamba anavaa mapete makubwa yana rangi rangi km mganga wa jadi nmeona video akiwa na diamond wanachukua tuzo alikera.

Ushamba is a relative term uuh!
 
chige huo mkorogo wa mama mkubwa na wanae mhhh Mbona mke wa babu tale yuko powa tu na msomi. Inabidi huyu wa side lafe ajifunze kwa mke wa babu tale
 
Last edited by a moderator:
Mkuu soma uelewe uckurupuke.HV ushamba ni nn labda.kila MTU ana ushamba wake hapa duniani.we unaweza ukawa mjanja wa kuvaa kumbe mshamba kwenye mambo mengine.asilimia kubwa ya watu ambao wako busy na utaftaji wa pesa huwa muda wa kuingia madukani kutafta nguo ni mdogo Sana.Hata kama akiingia bc yoyote anachukua bora ajistiri.watu wako busy mkuu na maisha.Pia angalia umbile na umri.kwani kuna cku umemkuta uchi?Au shida yako unataka tu uone kamechisha.Km vp mfate we mjanja umfundishe kuvaa.Acha kuchunguza maisha ya watu.Fanya yako.

Hahahaah.watu wapo bize na maisha?maisha nini asee maana umenikanganya nisaidie kaka maisha nini?
 
chige huo mkorogo wa mama mkubwa na wanae mhhh Mbona mke wa babu tale yuko powa tu na msomi. Inabidi huyu wa side lafe ajifunze kwa mke wa babu tale
Mnh! Mrembo by Nature nawe... mwenzio nilijifanya sijaiona hiyo picha nikawa na-skroo tu; mvuuuuuuu.... mvuuuuuu; chini, juu... chini, juu... ka siioni vile!! Tena nakumbuka hiyo photo ilikuwa Dar Live...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom