Tazama: Said Fella ni mshamba Not In a Way - huyu ni mshamba Per sé

Fella mchizi wangu... tena sana tu... long time kitambo hata Bongo Flavor haijaanza!! Lakini kibongo bongo, uki-mess na Fella; umeumia... bora u-mess na Ruge! Nakumbuka enzi za Wanaume Family, maskani madogo walikuwa wanamuogopa kama ukoma... wakianza kumng'ong'a basi ni lazima wafanye hivyo kimachale machale kwa imani kwamba Fella alikuwa anawaandea kwa bibi! Siku nimemuona Fella nyoko ni pale alipozinguana na mmoja wa washikaji wa Wanaume Family... kwa ku-show love, watu tukam-support yule mchizi akaenda studio, akagonga kopi kibao... nakumbuka tulihangaika sana kusambaza ile album radio stations...hata hivyo, haikupata airtime kabisa! Wambeya wakatupenyezea habari kwamba Fella kapita kufukia nyayo kila tulipopita... mchizi ambae tulimpa support ni very talented lakini amebaki historia!!

Hata hivyo, Fella sio mshamba kihivyo, sema inawezekana akinyuka pamba hazimtoi! Long time alikuwa na tabia ya kuvaa vijinzi vya kubana... ingekuwa siku hizi tungeita model... pata picha na ule mwili wake ingawaje enzi hizo hakuwa vile!!!

Bilashaka hapa unamzungumzia mtu wa kuitwa KAKA MAN
 
Kwa taarifa yako tu mtoa mada,hao unaowaona washamba hawajui kuvaa ndo wanaojua kutafuta pesa.kikubwa anajistiri mwili.hao unaoona wajanja wa kuvaa c ndo masharobaro wa kujibweteka.

Huu mtizamo huuu

Wenye sura mbaya ndo matajiri

Wenye sura mbaya ndo wanaojua kupenda

Wasiojua kuvaa ndio wanajua kutafuta hela

Hivi nyie mnawajua watu wenye hela nyie!!!!
POS
 
hivi ushamba ni uvaaji wa nguo?we mleta mada umekaa kitaarabu au umekulia mombasa
 
Huu mtizamo huuu

Wenye sura mbaya ndo matajiri

Wenye sura mbaya ndo wanaojua kupenda

Wasiojua kuvaa ndio wanajua kutafuta hela

Hivi nyie mnawajua watu wenye hela nyie!!!!
POS
bunited hajasema hao wasiojua kuvaa ndio wenye pesa bali ndo wanaojua kutafuta pesa... na kwahili, halina ubishi... Fella anajua kuzitafuta pesa na hakuna ubishi kwamba Fella ndo the most successful manager (not in terms of utajiri) kwenye tasnia ya muziki hapa Tz... and am afraid inaweza kuwa the whole of East Africa!
 
Sioni ni kwa vipi nikubaliane na wewe, coz kama hao Miungu wana uwezo wa KUinfuence Clouds, si bado kuna vyombo vingine vina nguvu tu, kama ITV/REDIO ONE au STAR TV/RFA...unataka kuniambia hao jamaa wanacontrol huko kote ?..kama ndivyo basi watakuwa ni zaidi ya Miungu watu.

Kwamba utafanya kazi nzuri alafu vyombo vyote visubiri "go ahead" ya hao jamaa ?....ITV kuna mpaka kipindi kinaitwa "hawavumi lakini wamo" unataka kuniambia Zomboko hapokei msanii bila kushauriwa na hao Miungu unaowataja ? mmmmmmh.

Acha kelele. .voice wonder yuko wapi wkt meneja alikua mwaipaya? Hua yanawatoka kama mavi ya njiani?
 
bunited hajasema hao wasiojua kuvaa ndio wenye pesa bali ndo wanaojua kutafuta pesa... na kwahili, halina ubishi... Fella anajua kuzitafuta pesa na hakuna ubishi kwamba Fella ndo the most successful manager (not in terms of utajiri) kwenye tasnia ya muziki hapa Tz... and am afraid inaweza kuwa the whole of East Africa!

Ndumba VP we si hua una file LA kila MTU? Fela na babu tale VP? Bibi Cheka nae ana verossa eehhh?
 
Huu mtizamo huuu

Wenye sura mbaya ndo matajiri

Wenye sura mbaya ndo wanaojua kupenda

Wasiojua kuvaa ndio wanajua kutafuta hela

Hivi nyie mnawajua watu wenye hela nyie!!!!
POS
Mkuu soma uelewe uckurupuke.HV ushamba ni nn labda.kila MTU ana ushamba wake hapa duniani.we unaweza ukawa mjanja wa kuvaa kumbe mshamba kwenye mambo mengine.asilimia kubwa ya watu ambao wako busy na utaftaji wa pesa huwa muda wa kuingia madukani kutafta nguo ni mdogo Sana.Hata kama akiingia bc yoyote anachukua bora ajistiri.watu wako busy mkuu na maisha.Pia angalia umbile na umri.kwani kuna cku umemkuta uchi?Au shida yako unataka tu uone kamechisha.Km vp mfate we mjanja umfundishe kuvaa.Acha kuchunguza maisha ya watu.Fanya yako.
 
Tena kwa mimi mtu ninayemjua Fella enzi tunamuita Saidi, wala siwezi kumuelewa mtu akisema Fella ni mshamba! Fella long time dah, sina hata cha kusema... alipoona Bongo haisomeki, akazama kwa Madiba... kule nako hakutaka kujisahau na kuona amefika mwisho wa reli, akaamua kurudi tena Bongo na tangu arudi, amekuwa aki-mprove kimichongo mwaka hadi mwaka!!
waambie wakuelewe.Hawajui km alikimbia mke kwa miaka Isiyopungua 12 na kuendelea.jamaa anajua kuzitafuta mno aisee.
 
waambie wakuelewe.Hawajui km alikimbia mke kwa miaka Isiyopungua 12 na kuendelea.jamaa anajua kuzitafuta mno aisee.
Ndo tatizo la wabongo... unakuta mtu kaanza kukufahamu majuzi tu hapa tena sometime kupitia kwenye video; na ikitokea bahati mbaya siku mmegongana bar mkaa meza moja angalau kwa nusu saa, ndo basi tena, atajifanya anakujua kuliko anavyokujua demu wako wa primary!
 
Ndo tatizo la wabongo... unakuta mtu kaanza kukufahamu majuzi tu hapa tena sometime kupitia kwenye video; na ikitokea bahati mbaya siku mmegongana bar mkaa meza moja angalau kwa nusu saa, ndo basi tena, atajifanya anakujua kuliko anavyokujua demu wako wa primary!
Ha ha haaaa.Haya bwana mkuu.
 
Nimekuwa nikitizama shughuli za mziki tanzania nkagundua kuna miungu watatu, Ruge, Said fella na babu tale. Hawa jamaa wana ka cartel kao, ukigombana na mmoja unapotea kabisa. Ila wana sifa zinazofanana nitawaletea mfululizo wa makala ila nianze na Fella Saidi.

Hajui kabisa kuvaa ni mshamba aliwahi kwenda Ikulu pale na jeans na tshirt juzi nimemuona kumbe alirudia zilezile kwenye tuzo za Diamond Channel O.

In short the guy ni mshamba anavaa mapete makubwa yana rangi rangi km mganga wa jadi nmeona video akiwa na diamond wanachukua tuzo alikera.

Weka Picha!!
 
Ulisha rudi toka Russia ? Ulikuaga active MMU mlipishana kidogo tu na mh.aliechangia 15 binam ya Seth harbibder singh

mkuu bado nipo huku,lol naona unabadili sana majina,mmu nimepunguza siku hizi nakaa huko kwenye siasa na celebrity.
 
Back
Top Bottom