Hapana mkuu... Ila aina hiyo ya umbo ndio mawazo ya walio wengi... Twawaza k, 90% ya muda..
Kitu gani tena mkuu??achana na hiyo picha wala k kama usemavyo, ila angali maoumbo ya waafrica na wamabara mengine, utagundua kitu....
Kitu gani tena mkuu??
nchi gani ipo eneo la kupumulia ambako wakati wote harufu mbaya inanukia hapo? naona kama itakuwa ghana na nigeria na kushuka magharibi ya afrika hadi angola. ila tz tupo upande wa mbele kula anakofunga viatu.harufu hadi ije itukute hadi uzunguke.
Looh!! bahati Tanzania hatukuwekwa huko "mkun.....!!
aiseeeee
tanzania ipo kwenye mkono wizi unapoanzia na kuwekwa kwenye viatu bondeni zilipofunguliwa akaunti za wakubwa
Umepatia palepale !!tanzania ipo kwenye mkono wizi unapoanzia na kuwekwa kwenye viatu bondeni zilipofunguliwa akaunti za wakubwa