Tazama picha za ay, ray c, wema, jokate na diamond walivyokua kabla ya kua maarufu

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,738
AY
AY.jpg

Wema Sepetu
Wema-Sepetu-vibe.jpg

Ali Kiba
Ali-kiba-vibe.jpg

Ray C
rayc-vibe.jpg

Diamond Platnamuz
Diamond-Vibe.jpg

Jokate Mwegello
Jokate-Vibe.jpg

KWA MAONI YAKO NANI KABADILIKA SANA???
Kwa upande wangu Platinamuz:shocked::shocked::shocked:
cc heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Duu diamond alikua kapinda balaa..najic hyu jamaa anafanyaga makeup
 
Mbona umewaonea masela umetafuta picha zao za zamani sana! Tafuta za hao watoto wa kike wakiwa wadogo uone mikamasi yao! Kama jokate wakati yuko primary pale ...... alikuwaje wadhani?.
 
hahahaha ay pesa imemfanya awe bomba enzi zake nadhani hata salam za wadada alikuwa hapati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom