Tazama nyaraka 18 zinazohitajika kwa ajili ya Uhakiki mwingine kwa Watumishi wa Umma

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
IMG-20180321-WA0031.jpg

Mytake:

Kila mtu apambane na hali yake.
 
uhakiki wa Nida ulichukua almost vyote hivyo. au nfo kulipana posho na bajeti nje ya bajeti?
 
Uzuri hii inakula upinzani na ccm kwa hiyo inajenga chuki kwa Serikali kwa watumishi wote kuichukia Serikali hii
 
Sera ya taifa inasema viwanda ilani ya sisiemu inasema viwanda hii ya uhakiki imeandikwa kwenye Sera au ilani viwanda havitekelezeki tumehamia kwenye uhakiki kila kukicha pesa zinatumika hapo
 
Hivi suala LA uhakiki lilikuwemo kwenye ilani ya mgombea wa ccm?

Maana kwenye suala LA katiba mpya alisema hakuwahi kuahidi suala LA katiba mpya, Je na hili LA uhakiki aliwahi kuliahidi lini na wapi kuwa akiingia ikulu atahakiki?
 
Je ni inji yote au huko makao makao makuu tu?
Je mwisho ni lini?
Imepatikana sababu tena ya kuminya stahiki za wajakazi wa umma.
 
Sera ya taifa inasema viwanda ilani ya sisiemu inasema viwanda hii ya uhakiki imeandikwa kwenye Sera au ilani viwanda havitekelezeki tumehamia kwenye uhakiki kila kukicha pesa zinatumika hapo
Hiyo ipo kwenye mpango wa maendelea wa miaka 5, 2015 - 2020. Kupunguza matumizi yasiyokuwa na ulazima kwa kufanya uhakiki na kuwaondoa watumishi hewa!!
 
Kama huna makandokando hvyo ni rahisi sana hata dk 2 nyingi vinapatikana kabatini labda uwe mzembe.

Sema tatizo ni usumbufu wa huu uhakiki usioisha
 
Kwa nini wasiwafukuze tu wafanyakazi wote wa serikalini ili serikali ipate hela?

Ya nini kuhangaika kote huku wakati ipo njia fupi? hahahahahah
 
Hiyo ipo kwenye mpango wa maendelea wa miaka 5, 2015 - 2020. Kupunguza matumizi yasiyokuwa na ulazima kwa kufanya uhakiki na kuwaondoa watumishi hewa!!
Haipo kwenye sera wala ilani imezuka tu ghafla itawaumiza watanzania wengi ingekuwa nzuri tungeanzia hapo kwa wanao ajiriwa sasa itapoteza haki nyingi za watu waliotumikia taifa hili kwa uaminifu kwa muda mrefu vyema serekali yetu ikatumia busara katika maamuzi yataathiri watumishi wengi
 
Jaman naskia watumishi wwnyewe wapo laki tano na sitini

Hivi tupo watu million 55 serikal inasumbua waajiriwa laki tano
 
Back
Top Bottom