Tazama kisha toa maoni/Maana yake nini

Tazama kisha toa maoni/Maana yake nini

Hatujuwani

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
51
Reaction score
10
Hii nilipita mahala nikaiona, Sijui ni elimu ndogo au ni maksudi!
Nawaachieni kwa maoni zaidi.
 
mbona sioni kitu au macho yangu yana matege..jipange mkuu
 
Yote mawili yanachangia, elimu ndogo na makusudi, je uliona Bango au?
 
Labda alitaka kuileta hii.
kikwete_lowasa_monduli.jpg
 
Mh anakuwa sabuni ya kusafisha 'madoa sugu' yaliyopelekea vilio kila kona. Tz ina demokrasia ya ajabu sana, mtu hasafishwi na mahakama bali 'mchafu' mwenzake. MUNGU IBARIKI TZ!
 
Back
Top Bottom