PreGE2025 Tazama kiongozi wa ACT alivyozuiliwa kuingia mahakama ya Kisutu kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Leo ni siku ambayo imekuwa busy sana wakuu, huku watu wanatekwa huku wengine wanazuilwa mahakami yani imekuwa tafrani. CCM kama inajiamini kwa nini inafanya haya yote? Kwanini wasitulie

===

Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amezuiliwa kuingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam alipofika Mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu

Jambo TV imeshuhudia kiongozi huyo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) akiwa kwenye majibizano na maafisa wa Jeshi la Polisi kwenye viunga vya Mahakama hiyo

Soma
 
Sasa itakua wameelewa kwanini CHADEMA hawakusaini zile kanuni.
 
Huyo Tawi la Ccm anatafuta kuongelewa kupitia Lissu,akae nyumbani anywe chai na Zitto.
 
Leo ni siku ambayo imekuwa busy sana wakuu, huku watu wanatekwa huku wengine wanazuilwa mahakami yani imekuwa tafrani. CCM kama inajiamini kwa nini inafanya haya yote? Kwanini wasitulie

===

Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amezuiliwa kuingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam alipofika Mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu

Jambo TV imeshuhudia kiongozi huyo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) akiwa kwenye majibizano na maafisa wa Jeshi la Polisi kwenye viunga vya Mahakama hiyo
View attachment 3314237
Soma
Huyu wa ACT ni tawi la kijani. Hawamfanyi lolote
 
Back
Top Bottom