Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 25
- 55
Chawa mgeniUnaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani;
1. Kaimarisha Demokrasia
2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia
3. Kainua Sekta Ya Utalii
4. Ushirikiano Wake Kwenye Michezo Leo
Hii Tuna Timu Za Ndani Zinazofanya
Vizuri Kimataifa
5. Tuna Uhuru Ulio Direct na Indirect
6. Kafungua Milango Ya Ajira, Na Anaendelea Kuchipua Miradi Mbalimbali Ili Kuongeza Mianya Ya Ajira
7. Kaendelea Kuimarisha Ulinzi na Usalama Kwenye Mipaka Ya Nchi
8. Tanzania Inaendelea Kuimarika
Kimahusiano na Mataifa Mengine
9. Shirika La Ndege Analiendeleza, Japo Faida Yake Itakuja Kuonekana Baadaye
10. Anaendelea Kuboresha Sekta
Mbalimbali Kwa Njla Moja Au Nyingine, Elimu, Kilimo, Afya, n.k
11. Hana Ubaguzi, Msikivu, Na Msuluhishaji
Hapo Pichani Ni Miongoni mwa Miradi (Shule, Ujenzi wa Kituo cha Polisi, Ujenzi wa Vyoo, Uboreshwaji wa Majengo na Ujenzi wa Wodi Mpya Kwenye Hospitali Ya Wilaya Kivule, Ukamilishwaji wa Shule Ya Kidato Cha Tano na Cha Sita Ya Kivule, Na Kadhalika Aliyoitekeleza Kwenye Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
KAZI IENDELEE 🇹🇿View attachment 2961937
Naona kaja na kasi ya 5G..wenzio huwa wanapiga hodi kwanza mrembo!Chawa mgeni
Siku nyingine weka namba ya Simu ewe chawa.Unaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani;
1. Kaimarisha Demokrasia
2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia
3. Kainua Sekta Ya Utalii
4. Ushirikiano Wake Kwenye Michezo Leo
Hii Tuna Timu Za Ndani Zinazofanya
Vizuri Kimataifa
5. Tuna Uhuru Ulio Direct na Indirect
6. Kafungua Milango Ya Ajira, Na Anaendelea Kuchipua Miradi Mbalimbali Ili Kuongeza Mianya Ya Ajira
7. Kaendelea Kuimarisha Ulinzi na Usalama Kwenye Mipaka Ya Nchi
8. Tanzania Inaendelea Kuimarika
Kimahusiano na Mataifa Mengine
9. Shirika La Ndege Analiendeleza, Japo Faida Yake Itakuja Kuonekana Baadaye
10. Anaendelea Kuboresha Sekta
Mbalimbali Kwa Njla Moja Au Nyingine, Elimu, Kilimo, Afya, n.k
11. Hana Ubaguzi, Msikivu, Na Msuluhishaji
Hapo Pichani Ni Miongoni mwa Miradi (Shule, Ujenzi wa Kituo cha Polisi, Ujenzi wa Vyoo, Uboreshwaji wa Majengo na Ujenzi wa Wodi Mpya Kwenye Hospitali Ya Wilaya Kivule, Ukamilishwaji wa Shule Ya Kidato Cha Tano na Cha Sita Ya Kivule, Na Kadhalika Aliyoitekeleza Kwenye Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
KAZI IENDELEE 🇹🇿View attachment 2961937
Watu mko macho kama VAR !!! Ngoja wamtoe tongotongo kwanza ndiyo waanze kumpiga sopsop.View attachment 2962598
Ni muda muafaka sasa CCM ikununulie gauni lingine
Halafu miccm inaona sifa🙆🙆Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunahangaika na kuta za madarasa na madawati.
Hizo kazi ulizotaja niza mtendaji wa kata. Thats very cheap for a country president.Unaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani;
1. Kaimarisha Demokrasia
2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia
3. Kainua Sekta Ya Utalii
4. Ushirikiano Wake Kwenye Michezo Leo
Hii Tuna Timu Za Ndani Zinazofanya
Vizuri Kimataifa
5. Tuna Uhuru Ulio Direct na Indirect
6. Kafungua Milango Ya Ajira, Na Anaendelea Kuchipua Miradi Mbalimbali Ili Kuongeza Mianya Ya Ajira
7. Kaendelea Kuimarisha Ulinzi na Usalama Kwenye Mipaka Ya Nchi
8. Tanzania Inaendelea Kuimarika
Kimahusiano na Mataifa Mengine
9. Shirika La Ndege Analiendeleza, Japo Faida Yake Itakuja Kuonekana Baadaye
10. Anaendelea Kuboresha Sekta
Mbalimbali Kwa Njla Moja Au Nyingine, Elimu, Kilimo, Afya, n.k
11. Hana Ubaguzi, Msikivu, Na Msuluhishaji
Hapo Pichani Ni Miongoni mwa Miradi (Shule, Ujenzi wa Kituo cha Polisi, Ujenzi wa Vyoo, Uboreshwaji wa Majengo na Ujenzi wa Wodi Mpya Kwenye Hospitali Ya Wilaya Kivule, Ukamilishwaji wa Shule Ya Kidato Cha Tano na Cha Sita Ya Kivule, Na Kadhalika Aliyoitekeleza Kwenye Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
KAZI IENDELEE 🇹🇿
Hata Mimi Nimeona Chawa Ingizo Jipya Hili Anahaha AnabwataChawa mgeni
Ng'ombeUnaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani;
1. Kaimarisha Demokrasia
2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia
3. Kainua Sekta Ya Utalii
4. Ushirikiano Wake Kwenye Michezo Leo
Hii Tuna Timu Za Ndani Zinazofanya
Vizuri Kimataifa
5. Tuna Uhuru Ulio Direct na Indirect
6. Kafungua Milango Ya Ajira, Na Anaendelea Kuchipua Miradi Mbalimbali Ili Kuongeza Mianya Ya Ajira
7. Kaendelea Kuimarisha Ulinzi na Usalama Kwenye Mipaka Ya Nchi
8. Tanzania Inaendelea Kuimarika
Kimahusiano na Mataifa Mengine
9. Shirika La Ndege Analiendeleza, Japo Faida Yake Itakuja Kuonekana Baadaye
10. Anaendelea Kuboresha Sekta
Mbalimbali Kwa Njla Moja Au Nyingine, Elimu, Kilimo, Afya, n.k
11. Hana Ubaguzi, Msikivu, Na Msuluhishaji
Hapo Pichani Ni Miongoni mwa Miradi (Shule, Ujenzi wa Kituo cha Polisi, Ujenzi wa Vyoo, Uboreshwaji wa Majengo na Ujenzi wa Wodi Mpya Kwenye Hospitali Ya Wilaya Kivule, Ukamilishwaji wa Shule Ya Kidato Cha Tano na Cha Sita Ya Kivule, Na Kadhalika Aliyoitekeleza Kwenye Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
KAZI IENDELEE [emoji1241]View attachment 2961937