Tazama Ikulu ilivyokuwa open and accessible

acha kudanganya watu,unaweza ukatumia computer yako kwa kupost chochote humu na ikashindikana kukupata, mimi ni telecom engineer na ninauzoefu wa networkng miaka 7

wale wale wa kanyigo.., mwanangu kamugisha ana umri wa miaka mitano anaendesha vogue yangu vizuri sio wewe mtu mzima na bado haujui kuendesha gari.....,
 
1. Kumbe hata hujui kama wanatunzwa au la, hata hautakuja kujua.

2. Go for English class before using the language.

3. Umetumwa na walioitaka nafasi ya Salva au?
 
USA kila mambo mengi ni open,maana wanajiamini na wanachukulia ikulu kama ofis nyingine za serikali,ila kwa nchi kama hii tanzagiza,huwezi ona kitu,maana wana woga,then wana weakness nyingi sana ambazo wanahofia wa2 wakizijua itakuwa ni aibu

USA wanajiamini kiteknolojia
 
aisee sasa kama marekan kwenda ikulu ni sawa na kwenda kwako nyumbani iweje hapa kwetu hata kupita pale ikulu tu watu wanaogopa
 
Ya magogoni ikiwa hivyo sijui ndo itakuaje ukizingatia na uchafu na harufu ya pale ferry,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…