Tazama hizi picha 3 na katuni 1 uburudike!!

Tazama hizi picha 3 na katuni 1 uburudike!!

Huyo ticha noma sana! Lkn sifikirii kama sheria inamruhusu kufanya hivyo! Nishawahi kuhudhuria semina moja ya mitihani! Kwny mambo wanaoambiwa walimu ni jinsi ya kupekuwa watoto wa kike! Huyo mwl. Apewe onyo!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unazichomoaje hizo picha klist?
za uko zinanembo uwenda nao wanazichomoa ninapozichomoa mimi alafu wanaweka nembo Dadisi mitandaoni utajua wapi zinaanzia mkuu.
 
Ticha naona alihamaki baada ya kuona anapigwa picha akajua janja yake imegundulika
 
suti hajaitendea haki kabisa, mwalim hadi mwenyewe kajishtukia aise!
 
Huu utaratibu wa kukagua kwa mikono siwezi kuushangaa kwa nchi zetu za dunia ya ngapi sijui...tatizo litakuja endapo mkaguzi atakuwa na agenda zaidi ya analostahili kukagua!
 
Hiyo picha no1 ndo kiboko batavuzi ipo speed 360 dada wa watu matiti ya bandia kule,matterqo ya mchina chali,wigi niagieni, nguo za vikambakamba yeyuu, halafu pichu naona hakuvaa
 
hiyo company ingeleta tanzania hizo hela,nadhani hata kujenga hawamalizi zishapata mtu
 
Back
Top Bottom