Tazama hii ujifunze kitu

Aisee!! Watu hawataki mambo ya acha hiki, punguza hiki mara fanya kwa kiasi.
 
Ahahahaaa hapo kulia Kuna masharti mengi sana, unaweza ukaambiwa uache bia ,nyama choma,kugegeda , utaambiwa ule mgagani na dona tu

bila kusahau acha kutumia AC na fan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…