Tayari Wameshamkata.

Tayari Wameshamkata.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
wale jamaa hawana huruma aisee,wamemkata mwenzao hivi hivi bila huruma.
wamemkata.jpg
 
kadoda11

Wakukate kwanza wewe...safari ya matumaini ilianza 1995
...
 
Last edited by a moderator:
Watakuanza na ww hapa hakuna kuogopa vimkwara mbuzi watu tulishajipanga.
 
Maombi yako na yakurudie weye mwenyewe membe type. Kule tu kuiharibu picha ya mtu namna hii ni unyama usio neneka. Hata Mods wanaoruhusu iendelee kuwekwa hii picha nao ni wa ajabu kabisa. Mwenye picha hayupo humu ajitetee, iweje Mpds muruhusu upumbavu kaa huu? Mimi si team ENL, na hata angeletwa kugomea na kuku, ntamchagua kuku, lakini kamwe siwezi weka upuuzi ka huu. Ni kumdhalilisha mtu utu wake jamani. Ptuuuu
 
ningeomba ambulance nyingi zingeenda dodoma maana naona watu watakavyo anguka kwa pressure ukumbini pale ambapo white hair akikatwaaaaaaaaaaa
 
Maombi yako na yakurudie weye mwenyewe membe type. Kule tu kuiharibu picha ya mtu namna hii ni unyama usio neneka. Hata Mods wanaoruhusu iendelee kuwekwa hii picha nao ni wa ajabu kabisa. Mwenye picha hayupo humu ajitetee, iweje Mpds muruhusu upumbavu kaa huu? Mimi si team ENL, na hata angeletwa kugomea na kuku, ntamchagua kuku, lakini kamwe siwezi weka upuuzi ka huu. Ni kumdhalilisha mtu utu wake jamani. Ptuuuu

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Safari hii Dodoma sidhani kama Jogoo atawika kwa ujasiri,kwa staili hii ya kuviziana na kupima upepo unakovuma.........napata mashaka mgombea bora hapatikani bali atapatikana mgombea kutokana na shinikizo.
Hiki kilichokuwa kinaitwa mtandao na sasa TEAM fulani naona ndio kitanzi cha CCM.
NGOJA TUTEGE MASIKIO.
 
Hizo ambulance zinaanzia nyumbani kwako zikuchukuwe ww na mkeo mkapatiwe kwanza drip moja moja ili mtie akili.
 
Maombi yako na yakurudie weye mwenyewe membe type. Kule tu kuiharibu picha ya mtu namna hii ni unyama usio neneka. Hata Mods wanaoruhusu iendelee kuwekwa hii picha nao ni wa ajabu kabisa. Mwenye picha hayupo humu ajitetee, iweje Mpds muruhusu upumbavu kaa huu? Mimi si team ENL, na hata angeletwa kugomea na kuku, ntamchagua kuku, lakini kamwe siwezi weka upuuzi ka huu. Ni kumdhalilisha mtu utu wake jamani. Ptuuuu

pole sana mkuu kwa kukukwaza,inaonekana una mahaba yasiyo ya kawaida na huyo aliyekatwa.hahahahaha.
 
Ukataji wa namna hii kitaalamu unaitwa saggital sectioning!!watu ni sheedah
 
Back
Top Bottom