Wapendwa wadau wenzangu ,nimekuwa na wasiwasi mkubwa baada ya kusikia sitta akichomekea kwenye hotuba ya raisi ya kupinga rasimu bila woga, kitu ambacho siyo chakawaida cha kuingilia na kuchomekea maneno. Binafsi sijawahi sikia na kuona kitendo kama hiki,sasa inaonyesha wazi kuwa ile hotuba waliipanga pamoja.Najiliuza kuna hajagani ya kuendelea na mtua, ambaye ameonyesha anaegemea upande mmoja