Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
Tuko hospital I ya mkoa wa njombe muda huu.Mimi Niko kichochoroni nimejibanza baada ta kuanza kupigwa mabomu na polisi.
Wananchi walifunga njia ili kuishinikiza serikali itoe tamko juu ya mauaji ya RAIA aliyeuwawa kwa risasi na polisi bila hatua....
Wananchi wametawanyika hovyo hivyo nitawajuza baadae kinachoendelea huko barabarani
Ka bahati mbaya sana moshi hauchagui mahala pa kwenda. Mabomu ya machozi ni moja ya silaha zinazotumiwa na jeshi la polisiHawa Police wa CCM sijui wanatumia kiungo gani kufikiria na kutenda... Mabomu hospitalini?...
Hivi hii nchi bila mabomu hakuna muafaka?
Ka bahati mbaya sana moshi hauchagui mahala pa kwenda. Mabomu ya machozi ni moja ya silaha zinazotumiwa na jeshi la polisi
Hivi hii nchi bila mabomu hakuna muafaka?