Tayari kwa wanunuaji

rr4

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,716
5,381
Ready for a buyer, 492-foot superyacht has beach club and elevated master


shaddai-superyacht-6-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-1-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-7-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-4-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-2-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-4-3x2-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-5-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-6-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-1-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-7-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-4-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-2-16x9-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-4-3x2-970x546-c.jpg
shaddai-superyacht-5-16x9-970x546-c.jpg
 
Sh. ngapi hii mkuu? nahisi mafao yangu nssf yanatosha kumiliki peponi hii inayoelea
 
Uwiiiiiiie yeuwuiiiiiii auwiiiiiiie

Mkuu bushland vipi mbona unapiga mwano.

Hii imdizainiwa na Designer wa Italy, wale si unajua wapo perfect sana.

Na ni for high end clients. Not us Mkuu. Sisi tutakula kwa macho.
 
Hayo ndo mambo ya wazungu, walishaachanaga na basics, intermediates, luxuries, saiv wako kweny sijui tuite super luxuries au sijui nin, manake kuna mambo wanafanya utadhan wanasadiwa na malaika wa mbinguni.
 
Hayo ndo mambo ya wazungu, walishaachanaga na basics, intermediates, luxuries, saiv wako kweny sijui tuite super luxuries au sijui nin, manake kuna mambo wanafanya utadhan wanasadiwa na malaika wa mbinguni.
Sisi bado tuko huku
42f388977c4929c6698f54fdbb958b81.jpg
96f4a3d47dc4b07b7b97866c3f72730e.jpg
 
Mkuu ya mchina itazama. Maana hii si una-cruise around the world huku ukila bata, ya mchina inaweza kukuzamisha bermuda huko.
Hapana siendi mbali ntauzia sura hapahapa bongo nikienda mbali sana ni unguja!Shem wako yuko huko hata pemba sifiki
 
Back
Top Bottom