Taya la chini halitembei

Jr Samsung

Member
Jun 18, 2015
77
9
Nimeng'oa jino cha ajabu taya halitembei, maumivu makali chini ya sikio, mdomo haufunguki .

Tatizo nini wana JF msaada please!
 
Kama Halitembei Tumia Good Rich Tyre.

Hehehehe! mkuu kwa kua like hakuna, basi kula like hiyo kwa reply.. Hii sarcasm umetisha sana, japo mleta mada hujamtendea haki kabisa, na mdomo wake haufunguki sasa hivi sijui atacheka vipi.
 
nimeng'oa jino cha ajabu taya halitembei,maumivu makali chini ya sikio, mdomo haufunguki tatizo nini wana JF msaada plz

Unatakiwa kurudi kwenye Clinic uliyong'orea jino, Wao watajua kuna tatizo gani. Inawezekana ikawa muscle spasms kwa ajili ya procedure kuwa ndefu. Hii exercise na pain killer inamaliza
 
nimeng'oa jino cha ajabu taya halitembei,maumivu makali chini ya sikio, mdomo haufunguki tatizo nini wana JF msaada plz

Kama hali ndivyo ilivyo hii thread umeandikaje? Huu muda uliotumia kuandika thread si ungeutumia kwenda hospitali?
 
Take this seriously. Unaweza kuwa na nerve damage na ukiendelea kucheza unaweza kupooza permanently. Infection pia yaweza kukuletea matatizo makubwa bacteria wakaingia kwenye blood stream. Rafiki yetu aliwahi kupoteza maisha kimchezo mchezo hivi hivi.

Rudi kwa waliong'oa hilo jino upesi. Something is not right. Please take this seriously!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom