Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,570
Tatizo huwa sio kufeli, shida passmark yaani hapo ni kuomba tu passmark ipitie upande wako, lkn pia kuzidi kuomba zaidi ili kupita kwasababu paper inaweza kuwa nyepesi lkn matokeo huwa yanasuprise sana na ishawahi kunitokea. Tuombe sana ndugu zangu kwasababu kwa nafasi zetu mshafanya let the nature decide me huwa naamn km ipoipo tu. God bless all of you guys.Leo tumefanya custom asbh kila mtu anasema ameuona paper iko vzr sas sijui Nani atafeli kwa paper ile
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mmmmh,hilo paper inabidi mtu awe amesoma sana kila kipengele,na hayakua that much direct,Custom huwa haina mambo mengi sana kama Tax Management
Hakika sonita nilikuwepo college of informative ,and vitue education pale udomMmmmh,hilo paper inabidi mtu awe amesoma sana kila kipengele,na hayakua that much direct,
Unaweza ona umeflow vizuri kumbe hamna kitu umeingia chaka, pia muda sio rafiki.
I can say waliomaliza shule karibuni wako na ahueni zaidi. Sio wakongwe(kusoma vya ndani ndani huko uongo).
Anyways it is what it is.
Mimi Dar mkuu,(DUCE)Hakika sonita nilikuwepo college of informative ,and vitue education pale udom
Je wee ulikuwa ukumbi ganj
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nilikuona bwanaMimi Dar mkuu,(DUCE)
Mmmmh...unajuaje ni mimi kiuhakika ndio ulieniona?[emoji849]Nilikuona bwana
Ila maswali yamebase kwenye Tax ambako unaenda kufanyia kaziPaper za Tra ni ngumu wanatuonea sisi tuliosoma Economis
Penalty ya EFD ni kitu cha kukosa? Hahahaha sijui swali limekaaje lakini hata Mimi niliitwa Dodoma lakini sikuweza kuhudhuria
Ungekosa Mkuu.Penalty ya EFD ni kitu cha kukosa? Hahahaha sijui swali limekaaje lakini hata Mimi niliitwa Dodoma lakini sikuweza kuhudhuria
Kwa kweli mkuuPaper za Tra ni ngumu wanatuonea sisi tuliosoma Economis