Tax Management Officers tupeane pole

Sikiza mkuu, hapo hakuna cha kujiandaa vema unaeza shangaa ukatokea oral ya Mungu mengi. Ile nyomi ni balaa
Nilisota mtaa kama miaka 5 hivi sina ajira, mambo hovyo asikwambie mtu nimechoka balaa, nikaitwa interview moja picha linaanza tulikuwa kama buku 3 hivi halafu nafasi chache balaa, dah nilikatishwa tamaa sana ila nikasema ngoja nijaribu tu

Pepa ilikuwa imeshonwa hasa, natoka nilipiga simu kwa kila mtu nimekosa nimekosa ukijumlisha na ile nyomi nilikata tamaa kabisa. Kama siku kadhaa majina yanatoka nimepita oral, kwanza sikuamini aisee, nikaingia oral nikapita na kazi nikapata

Toka hapo nilijifunza kuwa maisha yana namna ya kutu - surprise kila siku and never say never, kila kitu kinawezekana wasikate tamaa tu
 
Mfanyakazi anayefanya efilling ya VaT kila mwezi
 
Ni kweli mkuu maisha aya utakiwi kukata tamaa, nakumbuka 2020 nilifanya interview pale duce ilikuw ni ya tax mgt officer watu tulikuwa kama buku sita hivi yan lile nyomi achen tu japo kuna jamaa zangu walinikatisha tamaa lkn nilienda nilifanya mungu mkubwa nikaitwa oral mwisho wa siku nilipata kazi. Ndugu zangu wote ambao mnatafuta ajira msikate tamaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Utumishi wanakagua na kile kifaa cha kudetect electronic devices mkuu
Kuna jamaa aliweka cm kwenye socks na kifaa hakiku detect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…