Tawile mganga

...nche.mba na mbio za urais,kazi kwelikweli...
 
Unabebeshwa kuku mwenye "kideli" kazi ipo :bathbaby:
 
Asipo angalia ataliwa kiboga uyo
 
inashangaza kidogo. Huyo kuku kanaswa na superglue hapo kichwan?
 
Angalia vizuri kuku amefungwa kwa kitambaa cheusi kwa juu.

Labda akimnyea ndiyo itakuwa baraka kwake. Loh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…