tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Mteja atathibitisha vipi kama mwamba ni mgumu au laini. Ebu tuweke range kuwa visima kuanzia urefu Wa mita mfano 20 had I hamsini mwamba mgumu gharama zote mpaka kupata maji ni sh. Y n.k endelea hivi kwa mwamba laini nk. Suala la usafiri nivema likawa kwenu. Tunahitaji gharama za jumla sio ututajie kitu kimoja kimoja. Mteja atajuaje kama maji yanayochimbwa no ya chumvi au la. Ikitokea mmechimba maji mkakosa itakua hasara ya nani? Je, kabla ya kuanza kujimba mnaweza kubainisha umbali wa kupata maji? Kama sio hivo hamuoni kuwa shughuli hii inafanyika kwa kubahatisha? Hali hii so inaweza kuleta mtafaruku kati yenu na mteja? MAJIBU TAFADHALI!!Habar wana jf,natumai ni wazima tena wa afya.TAWA WATER EXPERT ni wajasiliamali tunaojihusisha na masuala ya uchimbaji wa visima ( water well drilling) kazi zetu hizi tulianzia maeneo ya Morogoro wilaya ya kilosa na ndipo Ilipo Offisi yetu.Tumeanza shughuli za uchimbaji wa visima tangu mwaka 2013 tunauzoefu wa uchimbaji maeneo ya Dar es salaam,morogoro na baadhi ya maeneo ya Dodoma hayo ni baadhi ya maeneo tulio chimba visima na kufanya ground water survey,
Bei:
Bei zetu ni za kawaida sana na ni rafiki kwa kila mtanzania mwenye nia ya kuchimba kisima.
1: Eneo lisilo na mwamba mgumu tunachimba kwa shillingi 70000 kwa mita hapo tunanunuwa pampu pamoja na viunganishio vyake na pamoja na polypipes zinakuwa juu yetu
Au
Shillingi 65000 tunanunuwa pampu ila vifungashio vinakuwa pamoja na polypipes zinakuwa ni juu yake mteja
2: eneo lenye mwamba tunachimba kwa shilingi 80000 tunanunuwa pampu pamoja na viungio vyake na polypipes vinakuwa juu yetu au shillingi 75000 baadhi ya vitu ananunuwa kama nilivyo onyesha hapo juu
Nb: bei hizo juu ni kwa wateja wa Dar es salaam,kwa mikoani ni makubaliano tu
Bei za ground water survey
Ground water survey tuna fanya kwa shillingi Laki tatu kamili kama usafili utakuwa juu yetu au shillingi 250000 usafili ukiwa juu ya mteja pia bei hii ni kwa wateja wa dar es salaam kwa walionje ya Dar es salaam ni makubaliano tu
Point to note: Negotiation its there, welcome.
Malipo: kwa kuwa offisi zetu zipo mbali na mara nyingi wateja wanashindwa kufika offisini malipo yote huwa yanafanyika baada ya sisi kufika site pamoja na vifaa vyetu na siku huyo utakayotowa Advance ndio siku kazi itakapo anza,kabla ya kuanza kazi na kabla ya kutowa malipo kuna mkataba itabidi uupitiye na kuujaza pamoja na sisi kuujaza kisha ndio taratibu za uchimbaji na malipo yatafuata.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0628080096 pia unaweza kutuma msg watsapp.
Sory these number for seriouse clients only, welcome.
M
Mteja atathibitisha vipi kama mwamba ni mgumu au laini. Ebu tuweke range kuwa visima kuanzia urefu Wa mita mfano 20 had I hamsini mwamba mgumu gharama zote mpaka kupata maji ni sh. Y n.k endelea hivi kwa mwamba laini nk. Suala la usafiri nivema likawa kwenu. Tunahitaji gharama za jumla sio ututajie kitu kimoja kimoja. Mteja atajuaje kama maji yanayochimbwa no ya chumvi au la. Ikitokea mmechimba maji mkakosa itakua hasara ya nani? Je, kabla ya kuanza kujimba mnaweza kubainisha umbali wa kupata maji? Kama sio hivo hamuoni kuwa shughuli hii inafanyika kwa kubahatisha? Hali hii so inaweza kuleta mtafaruku kati yenu na mteja? MAJIBU TAFADHALI!!
Je ,ikitokea unapochimba kisima kuna dhahabu kwenye udongo unaotoka chini, dhahabu itakuwa ya nani kwa mujibu Wa mkataba wenu? Nakama hilo halimo hauoni kuwa mkataba wenu utakuwa shallow???Suala la kujuwa kuwa mwamba ni mgumu au laini litajulikana baada ya kufanya ground water survey. Na kisima cha mita hamsini kwa mwamba mgumu itaghatimu shillingi,
Mita 1= 80000 tsh
Mita 50=??
Apply cross multiplication
Mita 50 × 80000 tsh/1mita
Cut mita both side
4000000 tsh
Kwa hyo kisima chenye mwamba mgumu cha mita hamsini kinagharimu shillingi millioni nne kamili hapo wapata kila kita mpaka maji yanatoka
Kisima chenye mwamba laini cha mita hamsini kitagharimu shillingi
Mita 1= tsh 65000
Mita 50=??
Mita 50 × 65000/mita 1
3250000 tsh
Hizo ndio gharama za kisima cha mita 50 for soft rock
Mara zoote kwenye suala la uchimbaji wa kisima na kwenye inshu ya kumobilize machine kuja site usafili huwa juu yetu ni katika kumpunguzia gharama mteja.
Suala la quality ya maji huja mara nyingi baada ya maji kuchimbwa yaani hatuwezi kujuwa kuwa maji haya yapoje mpaka yatakapo kuwa yameshachimbwa tayari.Pia zipo njia ya kupunguza au kuondowa chumvi.
Ikitokea tumechimba tukakosa maji sasa hapo tutaangalia jee eneo hilo limefanyiwa ground water survey? Jibu kama ni ndio limefanyiwa,jee nani kafanya survey? Hapo itabidi aliyefanya survey awe responsible kwenye suala hilo ila kama survey tumefanya sisi wenyewe pia tutakuwa responsible kuyatafuta maji hadi yapatikane.Mara zote huwa tuna chimba kisima kwa kufuata maelezo ya ground water survey report,yenyewe ndio inatuelekeza tuchimbe mita ngapi,tutumie mashine ya aina gani katika kuchimba hapo pia hapo kuna mwamba wa aina gani soft au hard na ni vyema maji yakishachimbwa yapimwe kwanza kujuwa kama yanafaa kwa matumizi ya binaadamu.
Nb:huwezi kubaini umbali wa maji yalipo kabla ya kuchimba kisima kama hujafanya ground water survey
Angalizo: Ni vyema atakaye kufanyia ground water survey ndiye huyo huyo akuchimbye kisima incase yakitokea matatizo yoyote katika uchimbaji yeye mwenyewe ndio awajibike.
Usisahau hii ni biashara maongezi yapo.
Napita tuJe ,ikitokea unapochimba kisima kuna dhahabu kwenye udongo unaotoka chini, dhahabu itakuwa ya nani kwa mujibu Wa mkataba wenu? Nakama hilo halimo hauoni kuwa mkataba wenu utakuwa shallow???
Yaani Tshs 70,000/= ndio bei rahisi??Tumia maji yako mwenyewe kwa raha zako plz wasiliana nami ili upate kisima chako mwenyewe
Mkuu umeiona hiyo 70000 ila 65000 hukuiona? Vile vile urahisi wa bei unakuja pale kuwa unajilinganisha na nani? Kuna watu wanachimba mpaka kwa laki moja kwa mita kwa hapa mjini.Yaani Tshs 70,000/= ndio bei rahisi??
Na kuna watu wanachimba mpaka kwa Tshs 50,000/= kwa mita moja hapa mjiniMkuu umeiona hiyo 70000 ila 65000 hukuiona? Vile vile urahisi wa bei unakuja pale kuwa unajilinganisha na nani? Kuna watu wanachimba mpaka kwa laki moja kwa mita kwa hapa mjini.