Mema Tanzania
Member
- Feb 23, 2020
- 66
- 65
#TatuZaJumatatu AI | Robotics | Machine
AI ‘Artificial Intelligence’
AI ‘Artificial Intelligence’ ni sehemu ya computer science inayohusika na utengenezaji wa machines zenye kufanya jambo kwa kutegemea HI ‘Human Intelligence’.
Machine hizi zinauwezo wa kuelewa matakwa ya sauti, kutambua picha, kuendesha magari na kucheza michezo pengine zaidi ya tunavyoweza.
Aina nne za AI ‘Artificial Intelligence’:
1. Reactive Machine / Ni mfumo wa awali na mwanzo ambao unaweza kutambua, kuonesha na kutunza kumbukumbu inayoweza kutumika kwa wakati sasa na ujao. Mfano: Deep Blue na IBM’s chess-playing supercomputer
2. Limited Memory / Ni mfumo pili unaojumuisha machines zenye uwezo wa kutizama yaliyopita. Mfano: Upambanua speed na ramani ‘Directions’ dhidi ya magari mengine.
3. Theory of Mind / Huu ndio uti wa mgongo kwa tulipotoka na tunapokwenda katika ujenzi wa machines zenye utambuzi zaidi.
4. Self- Awareness / Ni sehemu ya mwisho ya ukuaji wa AI itayoweza kutengeneza uwasilishaji wa machines zenyewe.
Robotics
Robotics ni mfumo usio na kikomo na sehemu ya uhandisi na sayansi zinazojumuisha mechanical engineering, electronic engineering, information engineering, computer science na nyingine.
Robotics inahusika na ubunifu, usanifu, ujenzi na uendeshaji wa maroboti ‘Robots’ pia na mifumo ya tarakilishi zenye kuyaendesha, kutoa ufahamu na uchakataji wa taarifa. Teknolojia hizi zinatengenezwa kuwa akiba baina ya binadamu na matendo ya binadamu.
Aina za Robotics
Machine
Machine ni mfumo na vifaa unaotumia nguvu ya kimekanika ikiwa na sehemu mbalimbali na kila sehemu ikiwa na tafsiri ya utendaji na uwajibikaji kimatendo.
Utendaji wa Machine ‘Mashini’ utumia nguvu, uendeshaji mkakati kufanya tendo kuwa uhalisia.
Mashini zimekuwepo enzi na enzi takribani miaka 2000 BC, mashini za enzi hizo zilikuwa ni zile za uvunaji maji, usindikaji na uvutaji.
Mashini za kisasa zimekuwa na mifumo isiyokuwa na mwisho kuanzia, mfano wa mashini za enzi hizi ni kama roboti, magari, maboti, ndege, mifumo ya kiviwanda inayojiendesha kiatomatiki, mashini za kilimo, mifumo ya ushikaji maji, tarakilishi na mashini nyingine.
Mifano ya machine ‘mashini’

- Military Robots | Roboti za kijeshi
- Industrial Robots | Roboti za viwanda
- Cobots | Roboti zenye ushirika
- Construction Robots | Roboti za ujenzi
- Agricultural Robots | Roboti za kilimo
- Medical Robots | Roboti za utabibu
- Kitchen Automation | Roboti za jikoni
- Robot Combat for sport | Roboti za michezo
- Domestic Robots | Roboti za nyumbani
- Nanorobots | Roboti zenye udogo wa 0.1 – 10 micrometers
- Swarm Robotics |Roboti zenye asili ya kujitawala
- Autonomous Drones | Ndege ndogo zisizoongozwa na binadamu
- Sports Field Line Making | Roboti za uchoraji katika viwanja vya michezo
Machine
Machine ni mfumo na vifaa unaotumia nguvu ya kimekanika ikiwa na sehemu mbalimbali na kila sehemu ikiwa na tafsiri ya utendaji na uwajibikaji kimatendo.
Utendaji wa Machine ‘Mashini’ utumia nguvu, uendeshaji mkakati kufanya tendo kuwa uhalisia.
Mashini zimekuwepo enzi na enzi takribani miaka 2000 BC, mashini za enzi hizo zilikuwa ni zile za uvunaji maji, usindikaji na uvutaji.
Mashini za kisasa zimekuwa na mifumo isiyokuwa na mwisho kuanzia, mfano wa mashini za enzi hizi ni kama roboti, magari, maboti, ndege, mifumo ya kiviwanda inayojiendesha kiatomatiki, mashini za kilimo, mifumo ya ushikaji maji, tarakilishi na mashini nyingine.
Mifano ya machine ‘mashini’
- Inclined plane, Wedge, Screw, Lever, Wheel and Axle na Pulley (Simple Machines).
- Magari, Baiskeli, Mkasi, Torori na Stepla (Complex Machines)