Daah!!!! Kweli kabisa... Maana jana wamenipiga mpunga wangu kweupeeeee mchana yani..... Sema kubet hamna JUMADILI AU JUMAPILI YA MILLION 60
Chacha ni nini mkuu au wewe ni jike?Daaah!!!! Nishaliwa hivo chacha........ Kweli mimi jinga
Hogo alfu unaandika kama mdadaNina hogo hapa