Konnichiwa Mkuu Himawari.
Ninavyoona mimi, hawa watakuwa fyatu tu (atama baka).
Huwezi mtu na akili yako kuamua ufanane na shetani ili uwe "cool and different". Hata kama sio mdini.
Kuna brain cells zimeungua bila shaka.
Huyo mwanamke aliyebaba mtoto nayo ni tattoo?