hapo ni issue....manake si rahisi kuamini kuwa wife ataweza kumsahau jamaa...ameweka signature kuwa she belongs to the other guy. hiyo ngumu kumeza
Unajua jamaa anaumia na vitu vingi,kwamba frank alikuwa akipita huko ndo anakoiyona.
Somo zuri kwa wengine,kabla hujaoa fanya upekuzi kila engo.
Duh kwaiyo ndan ya mwaka mzima ndio unaiona jana?
Wewe utakuwa umegegeda mchana hayo ndo matokeo yake?
Nakutafuta nikuchore. Jamaa yako hataiona wala.
Alikuwa anamkatalia style ya mbuzi kagoma ndipo alipomlazimisha akakumbana na hicho kilichostusha macho yake.
Kwahiyo umemgegeda ex wa wife wako?
Sijakuelewa ndugu!
Tattaoo ya ex wa wife wako?? Sijaelewa bado
Yaani ni majanga alivyoandika ni kama anamgegeda mume wa mke wake wa zamani.
tatoo ya mpenzi wa zamani wa waifu wangu jamani na maanishha hivyo.
ameandika jina au picha...?
Alikuwa anamkatalia style ya mbuzi kagoma ndipo alipomlazimisha akakumbana na hicho kilichostusha macho yake.