tatizo yutube

tatizo yutube

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,797
Natumia Samsing Galaxy Ace ilikwepo na program ya yutube nikai ondoa nilivyo jaribu kuidownload upya inaniandikia hivi

google play service, which same of your application rel on, is not supported by your divice, please contact the manufactured for assistance

Naombeni msaada wenu ili niweze kuendelea na matumizi ya youtube! nikitaka kufungua hiyo app inaniandikia hayo maneno halafu inakata
 
Mimi pia natumia hiyo Ace. Lakini mara zote nikitaka ku-unstal huw inakubali kuondoa updates tu na c program yenyewe. So kwa hapo cna utaalam
 
Seems tge problem ni invalid version ya google play services ambayo ni app inayolink simu yako to play store.

Jaribu kuingia play store kwenye simu yako, then search google play services, alafu install au update hapo...
 
Nam pia natumia ACE tatzo lilintokea but m ghafla imeacha ku download app n youtube aisom inasema network problem.Ikafanya ivo kama wk nka i wipe sm n sdcard but tatzo lilelile ghafla ikaanza kufanya kaz kama zaman nkatumia ivo kwa sku 1 tyu kesho ake ikagoma tena ad leo lakn app zngne naztumia poa n internet ipo frsh kasoro google play kwny downloadng app n youtube. Ppz help m out too
 
Back
Top Bottom