Tatizo whats app

Tatizo whats app

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Msaada simu yangu ilikua inataka ni up date whatsapp application nilipojaribu ku up date ikawa inachukua muda mrefu sana mpaa inakataa nilichofanya ni ka unistall ...nikajaribu ku install aitaki tangu juzi but application zingine zote zipo okay tatizo ni nini ?? Simu yangu inaitwa be na natumia line ya airtel
 
Kama una opera mini, fungua internet kisha google whatsapp. Download application nzima kwenye simu yako, then run it. That should solve the problem.
 
Na mimi naomba kujua baada ya yeye kudownload upya je ataweza kuzikuta information zake za mwanzo alizokuwa akishare na wenzake whatsApp??
 
Ahsante kaka nimefanya hivyo na imekubali kaka !!!!! Stable woman mkuu message zangu zote zimerudi kaka
 
Back
Top Bottom