tatizo,welcome to ngix

tatizo,welcome to ngix

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
ni kuhusiana na yale mambo yet yale xaxa hapa kwenye simu yangu nimeset poa ila mesej ninayopewa bada ya kuandika pale kwenye hme page ni welcome to ngix.hapa suluhisho ni nini wadau hapa kwa simu? then kuna web ya mamuv embu chekin na kwa madude yet inakubal. Ni McKFluxMovies.com PAMOJA WAT WANGU
 
haina sehemu ya download movie
 
vp mbna hamnipi suluhisho hata mni pm bhana
 
Safisha cookie kaka kama unayo CCleaner thick vibox vyote ila kiache kile cha mwisho kabisa chini then Run cleaner af ujaribu tena Mwana
 
bdo suluisho wa2 wangu

sasa hivi jamaa wakali kinoma...proxy hazitolewi kamanjugu coz kuna yule jamaa devukota alizimwaga hapa jamvini ma mode wakafuta post nzima.
Mie mwanafunzi 2 hapa so nimejaribu kukusaidia niwezavyo......... Lakini mbona hiyo inayoishia na 35 inapiga mzigo kama kawa mkuu?
 
sasa hivi jamaa wakali kinoma...proxy hazitolewi kamanjugu coz kuna yule jamaa devukota alizimwaga hapa jamvini ma mode wakafuta post nzima. Mie mwanafunzi 2 hapa so nimejaribu kukusaidia niwezavyo......... Lakini mbona hiyo inayoishia na 35 inapiga mzigo kama kawa mkuu?
mkuu naomba na mie unipm... then kama kuna mtu ana link ya idm nzuri ambayo inasupport proxy plzzzzzzzzzzz, tusaidianeni
 
mwe haya maproxy yatakufa sam rich ungenipa ushuda had hapo mbona ningesaidia sasa mwanangu nakuhakishia hi ishu haitakaa hata mwezi
 
Ok akina sam.. Msishare tena,kumbe kuna wa2 wanataka wa2mie miaka hii trick.. By sharing maproxy yatakufa..
 
mkuu naomba na mie unipm... then kama kuna mtu ana link ya idm nzuri ambayo inasupport proxy plzzzzzzzzzzz, tusaidianeni

Idm Kamata link hii HAPA kaka Afu piga *154*44# uchague vifurushi utakavyo vya Mtandao wa Airtel mchezo kwisha.
 
Back
Top Bottom