Mimi natumia huawei u8185 ascend y100 lakini tatizo ni kwamba imegoma kusomeka kwenye pc kila nikijalibu kuplug kwa pc. Pc inasema usb device not recognized naomba msaada wenu ili niweze kuinstall hizo drivers. Ahsante.
Nisaidien jaman kila nikiplug usb cable tatizo ni lilelile nimebadili waya pot bado inanipa ujumbe uleule hata kwenye pc nyingine. Yaani usb device not recognized.
Kaka nina simu hiyo nimestukia juzi kuwa ni Mchina, we icheck fresh zinasumbua mno, binafsi simu ilikuwa na google play store,ikafutika nilipojaribu kui-download google play imegoma mpk leo