Bill of Quantity JF-Expert Member Dec 2, 2014 1,233 405 Aug 4, 2015 #1 Wadau, habarini za asubuhi? Simu tajwa hapo juu inanipa shida lwenye kufungua picha. Album ina picha zaidi ya.mia lakini zinafunguka 12 tu nyingine zinakataa. Naombeni msaada wenu.
Wadau, habarini za asubuhi? Simu tajwa hapo juu inanipa shida lwenye kufungua picha. Album ina picha zaidi ya.mia lakini zinafunguka 12 tu nyingine zinakataa. Naombeni msaada wenu.
MGuccI JF-Expert Member Feb 1, 2014 1,480 1,139 Aug 4, 2015 #2 Mkuu hizo picha zipi kwenye phone memory au memory card...?
Bill of Quantity JF-Expert Member Dec 2, 2014 1,233 405 Aug 4, 2015 Thread starter #3 MGuccI said: Mkuu hizo picha zipi kwenye phone memory au memory card...? Click to expand... Ziko kwenye memory card.
MGuccI said: Mkuu hizo picha zipi kwenye phone memory au memory card...? Click to expand... Ziko kwenye memory card.