Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,790
- 7,379
Habari za muda huu na vp kuhusu pilikapilika za kuzikaribisha sikukuu za Christmas na mwaka mpya..
Issue iko hivi, Nina simu yangu hapa ambayo tatizo lake kubwa ni kushika moto mkali sana (yaan joto Kali kwenye simu na betri) hasa wakati wa kuchaji, mpaka inaleta maneno kuonesha joto la simu limepitiliza.
So basi naaomba mawazo yenu hapa,
Nini nifanye ili kuondoa hii adha katika simu yangu..
Au kama kuna App ambazo zinaweza kucontrol hii shida nahitaji nifahamishwe.