Tatizo sijui ni nn??

Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??
Atakuwa mwenyeji wa mkoa huu: Uru kishimundu au Sambi sako mwenyewe
 
kuna wachangiaji wamesema hapo hufanyi naye mapenzi bali unamwingilia kimwili. Je, umewaelewa? Hoja yao ni kwamba, je mnakubliana kusex au unamforce? Je unamuandaa kabla ya kuingiza? Mwisho umewahi kumuuliza kuwa kwa nini anapenda kuua ndege 2 kwa jiwe moja hata pasipostahili?
 
Naomba nijue umri wako, uzoefu wa kukandamiza, na yeye aseme kama we ndo wangapi kumkandamiza, na je hiyo hali ilikuwa na kwa wengine pia?

It may be she has Psychological problems, sexual dysfunction au wewe ni MVULANA na si MWANAUME.

ukitaka kujua tofauti ya MVULANA na MWANAUME kiutendaji, mtafute LIZZY au nakuomba Lizzy uje umpe somo huyu somo yangu!

mimi mzoefu na ni m2 mzima mkuu sema cjui tatzo
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha...................sijawahi kusikia wala kuona ....hii mpya, unamlazimisha au mgonjwa? pia nina wasiwasi kama wewe ni mtundu kwenye majambozi.........
mbona kabla hujamfikia msichana kuna meseji nyingi usoni mwake za kukuonyesha yupo tayari, aibu au unyonge, au unamlazimisha.........................

mtundu sana,halafu uwa 2na elewana sema baadae anaanza kurusha nymbo
 
Tatizo cjui ni nn kwa
huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2
mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia
za mapenz au haridhiki na mm??

mh! hapo hamna kitu!
 
Duuuuuu hii kama si utani, hii ilitokea mara ya mwisho mwaka 1972 huko ethiopia!
 
Anakutumia ujumbe kwamba hana hisia kwako na performance yako ni zero.
 
Back
Top Bottom