Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??

Duh! cjui kama inawezekana. Mtu mmevuana nguo halafu mko faragha na shughuli inaendelea......eti mtu yuko bize na anahamisha nyimbo kutoka kwenye cm yako kwenda kwenye cm yake au anasoma gazeti. Dhubutu!!