Viongozi wengi waadilifu waliopita hawakuwa na madegree msiongopewe wenye vyeti ndio wajinga na wezi wa kwanza
Kila kiongozi ana mfumo wake ambao anautumia ktk utawala (leadership style). Bila ya kuwa na mfumo huwezi kuwa kiongozi.
Watanzania tulizoea mifumo potofu kutoka kwa viongozi (maraisi waliopita) rushwa, uzembe kazini, wizi, madawa ya kulevya, watoto wa viongozi kuwa juu ya sheria, viongozi kuweka watoto wao kwenye madaraka bila kufuata taratibu na wengine hawanasifa.
Asilimia 99% ya watanzania bado wanaishi na watapata risiki kwa kutimia mifumo hii potofu, wako viongozi, maasfofu, masheak, na watanzania wengine wengi "Ndio maana raisi anajitahidi kuondoa haya yote anaoneka mtu mbaya" lazima uzunguko wa pesa upungue hakuna mfumo unaozungusha pesa kama mfumo potofu (shule hawataki, majungu ndio maisha yao, jaziba, matusi na wanashindwa kutatua matatizo yao familia mpaka kazini(controlled by emotions). Ndio maana raisi kaliona hili anajalibu kuwatoa CCM mpaka serikalini.
NB: Change is good, tumsupport rais tusiongopewe na wafa maji walishazoea kututenga na kutunyayasa na pesa za wizi na madawa. Tutafika tu tuwe na subira.
Rome haijajengwa siku moja- acheni upumbavu tutumie elimu zetu kwenye kila jambo sio kusumbuliwa na wana siasa wasio na sifa.