Kingine tena ongezeeaaaaaBado siku chache tu viroba vitakosekana.
ContinentalVipindi vya Watanzania Tuzungumze Magazeti au movie za jioni hasa weekends, kuna matatizo ya kukatikakatika au kutoonekana kabisa.
Hili ni tatizo la miaka mingi tu. Inaboa kufuatilia vipindi hivi hapo StarTv au radio free africa
Pole sana hiyo tv wanaitazama wana familiaVipindi vya Watanzania Tuzungumze Magazeti au movie za jioni hasa weekends, kuna matatizo ya kukatikakatika au kutoonekana kabisa.
Hili ni tatizo la miaka mingi tu. Inaboa kufuatilia vipindi hivi hapo StarTv au radio free africa
Inawezekana yupo barOk tumejua unatumia flat screen kingineeee!!!
Flat sio ishu cku hizi...zungumzia mada kiongozOk tumejua unatumia flat screen kingineeee!!!
Stress tu za makato ndio zinanifanya hv sio mmFlat sio ishu cku hizi...zungumzia mada kiongoz
Arosto ya viroba hiyoBado siku chache tu viroba vitakosekana.
Amia DSTVStress tu za makato ndio zinanifanya hv sio mm
Kwa makato haya nihamie Dstv wee dora ikipanda na bei inapendaAmia DSTV