khaliciouz JF-Expert Member Nov 12, 2013 579 210 Nov 27, 2014 #1 mizizi ya watu kama membe, mkapa, pinda, slaa ni ngumu sana kuikata imefika mpaka kule vatican... sio kama mzee lowasa mizizi imeishia lumumba pale. hilo ndio tatizo
mizizi ya watu kama membe, mkapa, pinda, slaa ni ngumu sana kuikata imefika mpaka kule vatican... sio kama mzee lowasa mizizi imeishia lumumba pale. hilo ndio tatizo
khaliciouz JF-Expert Member Nov 12, 2013 579 210 Nov 27, 2014 Thread starter #2 baada ya lowasa kujiuzulu kanisa katoliki lilitaka mtu wao akae pale.
Lusungo JF-Expert Member Jan 4, 2014 27,139 39,374 Nov 27, 2014 #3 khaliciouz said: baada ya lowasa kujiuzulu kanisa katoliki lilitaka mtu wao akae pale. Click to expand... Una hoja nzito Sana sijui Kama FaizaFoxy ataielewa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
khaliciouz said: baada ya lowasa kujiuzulu kanisa katoliki lilitaka mtu wao akae pale. Click to expand... Una hoja nzito Sana sijui Kama FaizaFoxy ataielewa