Shabiki hachagui kiongozi, kiongozi anachaguliwa na wanachama hai wa clubHivi mashabiki ndio wanachagua viongozi
Tatizo la Simba ni viongozi, ulisikia malalamiko yao mo alikuwa hatoi pesa na hata za mikataba ya matangazo alikuwa akichelewesha lakini bado wanakataa kuingia mikataba mingine Kama ya NIC au pikipiki na Azam tv kisa kumfurahisha mo.
Shabiki hachagui kiongozi, kiongozi anachaguliwa na wanachama hai wa club
Basi hao viongozi ni mbumbumbu km wao 51% halafu waoga ni umbumbumbu na ujinga..hawajita
Rage ashawaita mbumbumbu inatoshaHivi mashabiki ndio wanachagua viongozi
Tatizo la Simba ni viongozi, ulisikia malalamiko yao mo alikuwa hatoi pesa na hata za mikataba ya matangazo alikuwa akichelewesha lakini bado wanakataa kuingia mikataba mingine Kama ya NIC au pikipiki na Azam tv kisa kumfurahisha mo.
Hata humu wapo ujue hao mbumbumbu tuwasemao ila kipindi hiki hutowaona ila wapoRage ashawaita mbumbumbu inatosha
wenye sauti Simba ni wanachama na mwekezaji. hao mashabiki ni vyura tu wasioweza kumzuia ng'ombe kunywa maji.Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa.
Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo.
Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote.
Leo wanasema Yanga tunahusika wakati wanachama wa Simba ndo walimchagua Mangungu.
Proganda nyingi hapo zimefanyika hapo Simba mashabiki mbumbumbu wakakataa kuzimekemea na tuliwaasa, mfano.
Mlete mdhungu, huyo mzungu alikuwa anakimbia kama ametoka kutahiriwa
Kushangilia kibegi, eti kilifunika siku ya mwananchi, wao mbumbumbu walipeleka kibegi wananchi tukapeleka kombe kileleni.
Mafanikio ya WhatsApp group, yani mashabiki wanajivunia eti team kuwa na group la Whatsapp ni mafanikio
.
Mpaka saiv Bado hawajatambua kuwa adui wa Simba ni Mo. Sasa kwakuwa nyinyi ni mbumbumbu hatuwambii muandame Mangungu atoke ili tuwapige 8
Nje ntiti ndani ntiti! Hapo patamu sasa.Mnaumia sana nyie vyura...tunaona maumivu yenu...huyo Mo mpaka mumuote.....kimewauma sana Mo kurudi kwenye utendaji maana alijitenga akawa ndugu mtazamaji ndo yakawa kama yalivyokua...mlitaka tubaki na Mangungu wenu peke yake mwenye mna ajenda nae.....mnataka muwavuruge wana Simba wamdhihaki Mo ili club ife..kama kuna muwekezaji anaitaka Simba mbona hatumuoni?? Mtupishe
Mo hajawahi kukaa pembeni hizo ni propaganda za kukwepa kuwajibika ili lawama ziende kwa wengine angekua serious asinge mrudisha Try again hapa tunachezewa akili kama mazuzuMnaumia sana nyie vyura...tunaona maumivu yenu...huyo Mo mpaka mumuote.....kimewauma sana Mo kurudi kwenye utendaji maana alijitenga akawa ndugu mtazamaji ndo yakawa kama yalivyokua...mlitaka tubaki na Mangungu wenu peke yake mwenye mna ajenda nae.....mnataka muwavuruge wana Simba wamdhihaki Mo ili club ife..kama kuna muwekezaji anaitaka Simba mbona hatumuoni?? Mtupishe
Pole sana mtani kwa hiki kipindi kigumu unachopitia wewe binafsi na hiyo timu yako.Mnaumia sana nyie vyura...tunaona maumivu yenu...huyo Mo mpaka mumuote.....kimewauma sana Mo kurudi kwenye utendaji maana alijitenga akawa ndugu mtazamaji ndo yakawa kama yalivyokua...mlitaka tubaki na Mangungu wenu peke yake mwenye mna ajenda nae.....mnataka muwavuruge wana Simba wamdhihaki Mo ili club ife..kama kuna muwekezaji anaitaka Simba mbona hatumuoni?? Mtupishe
Mbumbumbu hao kwa kulingana na Rage na kazio la Kaduguda.Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa.
Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo.
Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote.
Leo wanasema Yanga tunahusika wakati wanachama wa Simba ndo walimchagua Mangungu.
Proganda nyingi hapo zimefanyika hapo Simba mashabiki mbumbumbu wakakataa kuzimekemea na tuliwaasa, mfano.
Mlete mdhungu, huyo mzungu alikuwa anakimbia kama ametoka kutahiriwa
Kushangilia kibegi, eti kilifunika siku ya mwananchi, wao mbumbumbu walipeleka kibegi wananchi tukapeleka kombe kileleni.
Mafanikio ya WhatsApp group, yani mashabiki wanajivunia eti team kuwa na group la Whatsapp ni mafanikio
.
Mpaka saiv Bado hawajatambua kuwa adui wa Simba ni Mo. Sasa kwakuwa nyinyi ni mbumbumbu hatuwambii muandame Mangungu atoke ili tuwapige 8
ππππMsinikwoti kwoti.....hamuwezi nibadilisha mawazo yangu...
Dada bhn, me nakukubali sana dada yangu.Mnaumia sana nyie vyura...tunaona maumivu yenu...huyo Mo mpaka mumuote.....kimewauma sana Mo kurudi kwenye utendaji maana alijitenga akawa ndugu mtazamaji ndo yakawa kama yalivyokua...mlitaka tubaki na Mangungu wenu peke yake mwenye mna ajenda nae.....mnataka muwavuruge wana Simba wamdhihaki Mo ili club ife..kama kuna muwekezaji anaitaka Simba mbona hatumuoni?? Mtupishe