Tatizo null null IMEI kwenye galaxy note 2

Mkuu na mimi simu yangu ina tatizo kama hilo. Nimecheki baseband ipo? Je ni proof kwamba cm yangu ni unlocked?
Nikienda call setting inasema network or sim card error

Taja aina ya simu waweza pata msaada haraka. Simu nyingine ili uweze kuandika/kubadili Imei unatumia code ambayo inakupeleka moja kwa moja kwenye system ya kubadirishia. kama code number ikigoma ndo unatumia software.
 
inasema hai support hyo app mi kwa sim za mediatek kam tecno na hzo copy za original.

mkuu itabidi nijue kwanza detail za cmu yako nikusaidie vizuri hebu download "cpu-z" google play then nwekee picha za screenshot kama itawezekana

i.e kiufanya screenshot unaminya power button na button ya kupunguza sauti kwa wakati moja
 
No haiku lock ilizima tu ghafla nilipoipeleka kwa fundi walipoitengeneza kuja kuweka kadi ndio ikanipa ujumbe huo

weka line alafu piga screenshot ya hilo tatizo nataka nijue vizuri hio error

i.e kiufanya screenshot unaminya power button na button ya kupunguza sauti kwa wakati moja
 
mkuu leo nmeenda k.koo kuna mafundi wawili wamechemka. Kesho ntaenda tena.wanasema nitafute mashine nyingine eti.
 
mkuu itabidi unisaidie kwa hili..nakuchek pm mkuu
 
mkuu itabidi nijue kwanza detail za cmu yako nikusaidie vizuri hebu download "cpu-z" google play then nwekee picha za screenshot kama itawezekana

i.e kiufanya screenshot unaminya power button na button ya kupunguza sauti kwa wakati moja

ImageUploadedByJamiiForums1407335365.772308.jpg
 
Taja aina ya simu waweza pata msaada haraka. Simu nyingine ili uweze kuandika/kubadili Imei unatumia code ambayo inakupeleka moja kwa moja kwenye system ya kubadirishia. kama code number ikigoma ndo unatumia software.

Htc one mkuu
 
Back
Top Bottom