Tatizo Nini?

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Nawaza kitu kimoja :-
1. kijana kaenda Veta - kajifunza kuranda mbao, kukata mbao, kuunganisha mbao. kupima na kutumia vifaa vyote.. vyote anaweza....

But ukimpatia meza iliyo tayari ukamwambia aisome kwa kuibomoa... then mpatie mbao mpya aitengeneze mpya kama hiyo anashindwa... tatizo nini?

naomba tujiongeze
 
Back
Top Bottom