Tatizo ni Weledi Mdogo wa Viongozi

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Mimi ni mzazi. Nauliza hoja ni nidhamu ndogo ya wanafunzi au shambulio la mwili kwa mwanafunzi wa Mbeya Day? Labda niulize hivi shambulio alilopata mwafunzi wa Mbeya Day ni haki kwa mujibu wa maelezo ya RC??

Naomba nisisitize kuwa ni weledi mdogo sana tunaoona kwa viongozi wetu. Kuongozi aongee kwa miongozo sio mihemko ya kisiasa. Ni sheedah tuna viongozi hawajiamini na maamuzi yao....leo anasema hili kesho anasema lile. Kwa kweli JPM anayo kazi kweli kweli.
 
Unawafundishaje watoto wa simba kuacha kutumia meno yao wakati mama yao anataka hivyo?

Na mama simba japo ni wa kiume, amekuwa mstari wa mbele kupingana na aina yoyote ya weledi kazini.

Juzi tu hapa kawanyang'anya wanawe kapanya kao walikokamata Simiyu!!
 
RC Maakala ndiye kiongozi aliyeongelea suala hili kiuongozi ,Hongera RC Makala umeonesha tofauti!
 
Back
Top Bottom