jaribu kuangalia network selection,test kuweka network moja moja ,mfano kama ulichagua auto basi chagua either single 2G au single 3G ,then jaribu kama moja wapo ndo itakayokubali bila shida basi ujue issue ni ya network katka sehemu husika,na wala si simcard au simu