Mkweli77
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,458
- 1,119
Jamani wanaume wa sikuhiz yani ukimpa tu Tunda Amekukimbia Yani Shida tupu,, HII NDO MISEMO YAO dada zetu Ila hata siwakatalii wako sawa tu Ila dada zng angalieni na upande wa pili wa shling Muda mwingne Nyie wenyewe Ndo Tatzo,, kwann?
YANI Sikuhzi dada zngu Mapenzi Mmefanya Biashara Yan pesa mbele km huna hupat kitu, Sikatai km pesa ktika mapenz ina nafas yake ila sasa Yani imekua Toooooo Much, Kidume hadi akupate atatumia zaid 200,000,,, Hapo Unategemea Huyo mwanaume atarud kwako tena? Afu ukute huduma yenyewe mbovu Kweli kitandani!!!