Tatizo ni nyinyi wanawake wenyewe..!

Tatizo ni nyinyi wanawake wenyewe..!

Wanaume wa siku hizi ni hasara tupu,

utakayemuona analalamika ujue, hali yake ya maisha si shwari. hivi we unalalamika kwa 200,000 wakati wenzio wanatoa hiyo kabla hajasema wala kutaka chochote. mnavolalamika wakati mwingine ni aibu bana.
 
Kuna baadhi ya wanaume akimfukuzia msichana cha kwanza wanaanza kumwaga pesa hapo hajaombwa wala nini, sasa umalaya wa mwanamke unatoka wapi hapo, pesa utoe mwenyewe kwa hiari zako bila hata kuombwa afu usingizie watu kuwa malaya, waweza kuta hadi siku mnakutana ushakula hata lk 4 pengine hata zaidi

Acha kujitetea wewe, kama kumkatalia mtu si ukatae tokea mwanzo pasipo kuchukua chochote kutoka kwake!!!

Sio kila unalopewa unatakiwa kulichukua, vivyo hivyo hata kwenye pesa si lazima kila unapopewa unatakiwa kuichukua...

Nitakushangaa sana mwanamke unayehongwa halafu unachekelea na kujitetea kuwa, "si kaamua kunipa mwenyewe kwa hiari yake"...kwani wewe huna hela zako mwenyewe hadi utegemee hizo za kupewa???

Ukiwa mwanamke wa kujitegemea na misimamo binafsi, hauna mwanaume atayekuteteresha...

Tabia ya kuomba omba hela hovyo ni namna nyepesi ya kujirahisisha na kujishusha thamani...ni dalili za UMALAYA
 
he he he utadhani wamelazimishwa kumbe wa hiari zao wenyewe
 
WATU8 Pole sana
 
Pole ya nini?

Jihurumie wewe ambaye ni mwanamke, mwenye high chances za kuathiriwa na huu mfumo.

Me sitegemei pesa ya kupewa nafanya kazi kwa mikono yangu napata kipato changu, nakupa pole kwa sababu ukitoa pesa unakuja kulalamika huku kuwa umehonga lk 200 wakti wenzio hizo ni hela ya breakfast tu
 
..hata nyie wanaume pia huwa MNAYATAKA!
 
cha bure ni hewa tu mkuu vumilia kutoa tu maana kutoa ni moyo si utajiri. mimi nina katoni sita za mbuni nyumbani kupunguza matumizi ya hovyo hovyo
 
Me sitegemei pesa ya kupewa nafanya kazi kwa mikono yangu napata kipato changu,

Good for you then...

nakupa pole kwa sababu ukitoa pesa unakuja kulalamika huku kuwa umehonga lk 200 wakti wenzio hizo ni hela ya breakfast tu

Are you out of you mind?

Kuna mahali umeona nimelalama hapa?

Kuna mahali umeona nimeandika kuwa nimehonga?

Acha kutunga allegations ambazo hazipo...
 
Acha kujitetea wewe, kama kumkatalia mtu si ukatae tokea mwanzo pasipo kuchukua chochote kutoka kwake!!!

Sio kila unalopewa unatakiwa kulichukua, vivyo hivyo hata kwenye pesa si lazima kila unapopewa unatakiwa kuichukua...

Nitakushangaa sana mwanamke unayehongwa halafu unachekelea na kujitetea kuwa, "si kaamua kunipa mwenyewe kwa hiari yake"...kwani wewe huna hela zako mwenyewe hadi utegemee hizo za kupewa???

Ukiwa mwanamke wa kujitegemea na misimamo binafsi, hauna mwanaume atayekuteteresha...

Tabia ya kuomba omba hela hovyo ni namna nyepesi ya kujirahisisha na kujishusha thamani...ni dalili za UMALAYA

shemeji hawajui kuwa mla vya wenzie na vyake huliwa yaheee!
 
Na afadhali kila mmoja ale vya mwenzie, sio mmoja tu ndo afaidi, wanaume wao wanataka wapewe tu wakiombwa pesa wanalalamika kauziwa, nani kawaambia watu wanagawa bure? toa kitu upewe kitu. kama wanaona wanawake malaya si utongoze wanaume wenzio ambao sio malaya, tumechoka na hizi mada za wanawake kupenda hela, haaah! mtuache tulale
 
Kuna baadhi ya wanaume akimfukuzia msichana cha kwanza wanaanza kumwaga pesa hapo hajaombwa wala nini, sasa umalaya wa mwanamke unatoka wapi hapo, pesa utoe mwenyewe kwa hiari zako bila hata kuombwa afu usingizie watu kuwa malaya, waweza kuta hadi siku mnakutana ushakula hata lk 4 pengine hata zaidi

Wanaomba sana masalio na tafadhali nipigie
 
Wanaogawa bure wao sio malaya, ila wanaoomba pesa ndo malaya?! majanga! kwa hiyo mnataka wadada wagawe bure tu ili wasionekane malaya,!

Unaelewa kiswahili vizuri wewe?

Kuna mahali nimegusia habari za 'wanaogawa bure'?
 
Acheni kuwatongoza muone kama watawaomba hizo hela, utasave vitu vingi: Pesa, muda, hutabambikiwa mtoto asiye wako na hutakuwa katika hatari ya kupata ukimwi.
 
wanapenda vya bure wenyewe wapewe tu ila wasitoe, hawajui kuwa bure ni ghari na kila kitu kina price yake
Na afadhali kila mmoja ale vya mwenzie, sio mmoja tu ndo afaidi, wanaume wao wanataka wapewe tu wakiombwa pesa wanalalamika kauziwa, nani kawaambia watu wanagawa bure? toa kitu upewe kitu. kama wanaona wanawake malaya si utongoze wanaume wenzio ambao sio malaya, tumechoka na hizi mada za wanawake kupenda hela, haaah! mtuache tulale
 
Na afadhali kila mmoja ale vya mwenzie, sio mmoja tu ndo afaidi, wanaume wao wanataka wapewe tu wakiombwa pesa wanalalamika kauziwa, nani kawaambia watu wanagawa bure? toa kitu upewe kitu. kama wanaona wanawake malaya si utongoze wanaume wenzio ambao sio malaya, tumechoka na hizi mada za wanawake kupenda hela, haaah! mtuache tulale

Kwa wanawake wengi sex ni kazi kama kazi nyingine. Kumpa mwanaume ni sawa na kumfanyia kazi inayostahili malipo. Huu ndo ukweli mgumu kwa wanaume wengi - maanake wanafikiri eti na wanawake wanapenda sex kama starehe! No way.
 
..mimi sina noma na kutoa hata M kabla ya kupewa papuchi ila cku naja kupewa kitu nitamfanya huyo hatakaa amhadithie hata shoga yake wa ukweli, maana lazima nimkate hadi ile ya kidizaini fulani...c mnaijua wenyewe? !
 
Back
Top Bottom