Tatizo ni nyinyi wanawake wenyewe..!

Tatizo ni nyinyi wanawake wenyewe..!

Mkweli77

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,459
Reaction score
1,142
Jamani wanaume wa sikuhiz yani ukimpa tu Tunda Amekukimbia Yani Shida tupu,, HII NDO MISEMO YAO dada zetu Ila hata siwakatalii wako sawa tu Ila dada zng angalieni na upande wa pili wa shling Muda mwingne Nyie wenyewe Ndo Tatzo,, kwann?

YANI Sikuhzi dada zngu Mapenzi Mmefanya Biashara Yan pesa mbele km huna hupat kitu, Sikatai km pesa ktika mapenz ina nafas yake ila sasa Yani imekua Toooooo Much, Kidume hadi akupate atatumia zaid 200,000,,, Hapo Unategemea Huyo mwanaume atarud kwako tena? Afu ukute huduma yenyewe mbovu Kweli kitandani!!!
 
yaani ni vituko tu usipokuwa na mshiko hapendwi mtu.
 
Huna hela mjini wanawake wote ni shemeji zako.

Body without head
 
Em achen kututupia lawam uko,hamna mapenzi primary school wala high schoo o chuo cha course km hzoo,we learn in th process,af hela mnatafta ili atumie nani atii...truth is kila mwanaume will hurt u atlst find sm1 worht suffering for,mtu hana hela na bado anakupa strec wa kaz ganii uyo,kuna wenye hela na strc zao chachee
Of cz akishaumizwa mtu mara moja au mbl basi she 'l b careful nxt tym,
 
seriously ???😕unashangaa kuombwa lak 2 tuu,??ameona akufukuze vip??yan wewe ungekua unampa angeomba ?mmezid kupenda dezo na nyie,kma huna ela tafuta mtu wa class yako ambae ataitaj labda elfu 20,wanaume wa cku izi mizigo no carering wanataka kulalana tuu,mkalalane na d...d..a zenu basi,na nyie humjui mtu vizur mnataka kulalana ,ndo sababu tunafanya ivyo ukiambiwa hela unatoa macho
 
hiyo pesa ni kiasi gani mnataka badiebey ? Naona wenye nazo wananjungiwa vilevile tena na wasionazo
 
Last edited by a moderator:
seriously ???😕unashangaa kuombwa lak 2 tuu,??ameona akufukuze vip??yan wewe ungekua unampa angeomba ?mmezid kupenda dezo na nyie,kma huna ela tafuta mtu wa class yako ambae ataitaj labda elfu 20,wanaume wa cku izi mizigo no carering wanataka kulalana tuu,mkalalane na d...d..a zenu basi,na nyie humjui mtu vizur mnataka kulalana ,ndo sababu tunafanya ivyo ukiambiwa hela unatoa macho

kwa ushauri wako huu unataka kuwe na price list? Unapo shauri kulala na dadazetu huoni kama na kaka yako atalala na dada zake yaani kaka yako atakulala wewe? Tukiku classfy kwenye madaraja nina hisi IQ yako itasoma below zero huwezi kujustfy kulala na kaka zako wakati vitabu vyote vya dini na vya sayansi vinapinga.
 
we din inakushaur kuzin?oa utulie hautaombwa lak 2,iq yako haiwez kuniclassfy kma lak 2 inakuja kukuandikisha maelezo huku jf mnapenda kulalana hela hamna,starehe gharama au chukua wa bei rais,hata uyo alokuomba ela alitaka kukufukuza tuu wake up
 
Wanadhani kujiuza ni kwenda kwa kimboka tu, kumbe hata wayafanyayo ni biashara ya ngono tu...

Yaani baadhi ya wanawake ni majanga...! Au labda ukata wa maisha ndo unawafanya kuwa sokoni, hata wakiwa nyumbani..
 
Ni aina fulani ya umalaya...ila wao hawajui!!!


Kuna baadhi ya wanaume akimfukuzia msichana cha kwanza wanaanza kumwaga pesa hapo hajaombwa wala nini, sasa umalaya wa mwanamke unatoka wapi hapo, pesa utoe mwenyewe kwa hiari zako bila hata kuombwa afu usingizie watu kuwa malaya, waweza kuta hadi siku mnakutana ushakula hata lk 4 pengine hata zaidi
 
uwiiii mbavu zangu mie......................
back to topic. kuna wanaume wanapenda kujimwambafy wakiwa wanatongoza ili waonekane wanapesa.

Hampatikaniki kirahisi hata mkielezwa ya ukwel.
 
Back
Top Bottom