Tatizo ni nini katika hii PC?

Tatizo ni nini katika hii PC?

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Jamani wadau naombeni msaada.Kila niki burn VIDEO CD Katika Computer yangu ina ruka ruka.Tatizo ni nini?huwa natumia spid 40 au 36.TATIZO NI NINI?
 
Burn kwa lowest speed ... jiandae kubadilisha CD rumu!! aka rom
 
dah recomnd spd ni x16. Jaribu kwa spd iyo na cdhan kama utapatwa na tatizo ten.
 
Burn kwa lowest speed ... jiandae kubadilisha CD rumu!! aka rom

lowest speed ni ipi?pia rom yangu nimenunua na mashine mwez wa 6 mwaka huu.ile spid 40 ni kubwa au ndogo?
 
Back
Top Bottom