Tatizo lolote la PC/device

Mimi natumia dell latitude E6410 siku zote nilikuwa natumia window 7,kuna jamaa kaniwekea window 10 wiki iliyopita ila nikatumia kama siku 2 baada ya hapo kila nikiiwasha inaishia ile log ya window tu, nikatafuta mtu mwingine akaniwekea window 10 tena, nikatumia siku 2 kisha tatizo likawa lile lile nini tatizo hapo, ram 4gb/rom 500gb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fundi makini nipo hapa!
Screenshot_20200206-211451-picsay.jpeg
 
Kama ilipiga shoti tafuta Fundi ambaye ataitoa shoti kwanza, kisha kama tatizo lisipokuwa solved Fundi atarekebisha zaidi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Inatatizo la power kuna ice za power mbili kwenye bodi ya pc karibu na terminal ya betri fungua upime kama una mita , na chanzo mara nyingi cha tatizo hilo huwa ni adspter huwa inasababisha

sent from toyota Allex
 
Pc yngu imekumbwa na matatizo yafuatayo naombeni msaada wenu.
1: sensor ya caser imeacha kufanyaa kaz ghafra tu yaan haisens kabsa huwa natumia mouse tu japo spendi.

2: kuna baadhi ya keypad hazibonyezeki kabsa.

3: na juzi nimeshangaa nikibonyeza keypad inatoa sauti afu hairespond chochote adi ubonyeze mara mbili kwa kukandamiza kidogo ndo itarespond.

Nashindwa ata kuandka mambo yangu,nmejarbu kutumia external keyboard lakini haijasaidia tatizo lipo palepale.
Tatizo hilo ni tatizo la mkanda wa keyboard umepata mtikisiko hivyo !! Jaribu sana kujiifungua toa mikanda halafu urudishie vizuri

sent from toyota Allex
 
Mkuu naomba nisaidie hapa.

juu ya kuokoa mafile na vitu vyangu kwa hii laptop. Niliweka flash yenye virus bila kujua, nilipoona tu shortcuts kibao na sytem volume nikaitoa haraka.kuja kuclick kila app, kila nyimbo, kila document haifunguki!

Inaniletea hiyo sms hapo chini.View attachment 1336880

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kuapragrade window usi format partion itakaa poa

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom